abdulatif himid
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 326
- 814
- Thread starter
- #41
Najua ndio maana nasema wanazoaga tu,na Wananchi tunakula buyu Kali.Wanazoaga wanaiba tu. Temeke na Mbagala CCM haijawahi kupendwa.
Bado poa tu,ila kwa hili wamezingua.
Nimekwama na mgonjwa kwenye foleni,kidogo nimpandishe Bodaboda!