abdulatif himid
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 326
- 814
Upembuzi yakinifu imekuwa neno la Kisiasa!Sema walitakiwa watatue changamoto ya foleni wakati wa ujenzi kwasababu mwisho wa siku mwendokasi zitaanza na changamoto itarudi.
Mfano mataa ya Veta wameweka single lane yenye barrier kwenda Chang'ombe, zile semi zinazoingia viwandani zikiharibika katikati ya barabara, watumiaji wataimba haleluya. Bora wasingejenga vituo pale mwanzo na kuweka barabara mbili za kwenda na kurudi. Same applies to Buguruni pamoja na eneo kubwa kubaki wameweka single
Nyie watu wa Mbagala shida sana. Njia ya mwendokasi ni kwa ajili ya mabasi tu, jaribu kuzoea hilo.Barabara imejengwa kwa Kodi za Wananchi, mmeifunga kusudi ilihali hakuna gari yoyote ya Mwendokasi inayopita! Tunateseka na foleni huku pembeni tunaona Barabara Iko tupu.
Not fair! Huku kwetu kura mnazoaga tu, kwaninini mnatunyanyasa?
Wao ndio wamejenga chini ya kiwango!Vituo vya barabata hiyo vimeanza kuharibiwa kabla haijaanza kutumika.
Mabomba ya kupokea maji ya mvua ambayo nayo hayana ubora vituoni yamevunjwa na magari na pikipiki zinazopita barabara hiyo.
Waifunge tu
Hiyo Barabara Iko congested,Hii Barabara ingetumika wakati wa asubuhi na jioni ingesaidia.Nyie watu wa Mbagala shida sana. Njia ya mwendokasi ni kwa ajili ya mabasi tu, jaribu kuzoea hilo.
Mmezoea kwenda kinyume na taratibu, na hatujasahau hata daladala wengine wanaingilia dirishani.
Hili nimeliona ndiyo maana nasubiri wakabidhi barabara nisikie serikali inasema nini kuhusu hilo.Wao ndio wamejenga chini ya kiwango!
Gata za kukingia mvua zimeharibiwaje na Magari na pikipiki?
Au Gari zinatembea angani siku hizi?
Wao ndio wamejenga vitu chini ya kiwango!
nilishawahi kisema mm hilo suala mara kumi wangeweka barabara ya kupita gari 2 kwa kipa pande kuliko mwendokasiSema walitakiwa watatue changamoto ya foleni wakati wa ujenzi kwasababu mwisho wa siku mwendokasi zitaanza na changamoto itarudi.
Mfano mataa ya Veta wameweka single lane yenye barrier kwenda Chang'ombe, zile semi zinazoingia viwandani zikiharibika katikati ya barabara, watumiaji wataimba haleluya. Bora wasingejenga vituo pale mwanzo na kuweka barabara mbili za kwenda na kurudi. Same applies to Buguruni pamoja na eneo kubwa kubaki wameweka single
Ukitengeneza gari la kubeba mizigo, basi litumike hivyo libebe mizigo hata kama kuna abiria wengi.Hiyo Barabara Iko congested,Hii Barabara ingetumika wakati wa asubuhi na jioni ingesaidia.
Tusiishi Kwa kukariri.
Hiyo ni miundombinu ya Mwendokasi. Mkandarasi aliyejenga ana mkataba wa kukabidhi mradi ukiokamilika. Watanzania hawana nidhamu kwenye mali ya umma. Wanaendesha magari hovyo, wanagonga miundombinu kwa haraka na uzembe wao. Kama mkandarasi hajakabidhi kazi, basi mtaendelea kusota kwenye foleni tu mpaka akili ziwakae sawa.Barabara imejengwa kwa Kodi za Wananchi, mmeifunga kusudi ilihali hakuna gari yoyote ya Mwendokasi inayopita! Tunateseka na foleni huku pembeni tunaona Barabara Iko tupu.
Not fair! Huku kwetu kura mnazoaga tu, kwaninini mnatunyanyasa?
Watu wa Mbagala walipaswa wawe sehemu ya mkoa wa Pwani au Lindi. Kitu kinaitwa ustaarabu, uvumilivu, utaratibu, uungwana hawanacho kwenye misamiati yao.Nyie watu wa Mbagala shida sana. Njia ya mwendokasi ni kwa ajili ya mabasi tu, jaribu kuzoea hilo.
Mmezoea kwenda kinyume na taratibu, na hatujasahau hata daladala wengine wanaingilia dirishani.
Kiboko ni kupanda daladala kupitia dirishani.Watu wa Mbagala walipaswa wawe sehemu ya mkoa wa Pwani au Lindi. Kitu kinaitwa ustaarabu, uvumilivu, utaratibu, uungwana hawanqcho kwenye misamiati yao.