Kumbe bibie ana uzoefu wa kuvaa mashela.
Nasikia Vicky Kamata alipania kuvunja hiyo record ya Kanye na Kim!
hilo gauni limegharimu bilion 3.3 za kitanzania
Kanye akifilisika na ndoa inaisha
Nimeipenda sana hii harusi,
Hongera zenu vijana.
Eeeee!😱 nyumba ngapi hapo
Hii ni ndoa ya ngapii ya kim???
Bora hata amebahitika kuzipata zote hizo mana kuna watu wanaomba hata wapate hata moja na hawajawahi
hilo gauni limegharimu bilion 3.3 za kitanzania
Bora hata amebahitika kuzipata zote hizo mana kuna watu wanaomba hata wapate hata moja na hawajawahi
mara ya tatu saivi yani and who knows it may not be the last
Hizo mara mbili zote aliwahi zaa?
Au ndo kamzalia kanye West tu?