Kim and Kanye’s Wedding

Kim and Kanye’s Wedding

Kila kitu kinaweza kutokea
ili mradi tu maisha yaendelee kuwepo.

Tuombe mungu idumu jamani maana hawa masitaa,Kim Na kanye wamesema wanahitaji mtoto mwingine mapema baada ya ndoa
 
Bora hata amebahitika kuzipata zote hizo mana kuna watu wanaomba hata wapate hata moja na hawajawahi

Bongo complication kibao
Mtu akishafunga ya kwanza aki divorce kufunga nyingine ni issue.
Wenzetu walishapita huko ndo maana wanafunga tu ili mradi tu ana divorce papers.
 
Back
Top Bottom