Kim Jon-Un: Ktk miaka 5 North Korea itarusha na kuweka angani setilaiti nyingi za kijeshi ili kuchunguza shughuli za kijeshi za Marekani

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Rais wa North Korea, Kim Jong-Un, ameweka wazi kuwa ndani ya miaka 5 North Korea itafunga angani setilaiti nyingi za upelelezi ili kukukasanya na kupata taarifa ndani ya muda muafaka zihusuzo vitendo vya kijeshi vya Marekani na washirika wake wawili, South Korea na Japan.

North Korea imefanya majaribio kadhaa ya kuchunguza mifumo ya setilaiti ya uchunguzi wa kijeshi kwenye wiki za hivi karibuni, jaribio la karibuni zaidi likiwa limefanyika wikendi iliyopita. Serikali za South Korea, Japan na Marekani ziliilalamikia North Korea kuwa majaribio hayo yamehusisha makombora ya balistiki.

Kim ametetea project hiyo ya setilaiti akisema setilaiti hizo sio tu zitakuwa zakusanya taarifa lakini pia zitasaidia kulinda uhuru na mamlaka ya North Korea pamoja na maslahi ya nchi hiyo. Pia akasema satellite hizo zitaisaidia North Korea kutekeleza haki yake ya kujilinda dhidi ya maadui zake, na kutukuza hadhi ya taifa la North Korea.

=========​

Kim Jong Un says country will launch a number of reconnaissance satellites to provide real-time information on military actions by US.​

Israel National News
10.03.22 06:48
North KoreaNorth Korea-USKim Jong Un
Kim Jong Un
Kim Jong UnKCNA/via REUTERS

North Korean leader Kim Jong Un said on Wednesday the country will launch a number of reconnaissance satellites in coming years to provide real-time information on military actions by the United States and its allies, Reuters reported, citing North Korea’s official news agency KCNA.
While inspecting North Korea's National Aerospace Development Administration, Kim said "a lot" of military reconnaissance satellites would be put into sun-synchronous polar orbit in the period of a five-year plan first announced last year.

"He noted that the purpose of developing and operating the military reconnaissance satellite is to provide the armed forces of the DPRK with real-time information on military actions against it by the aggression troops of the U.S. imperialism and its vassal forces in south Korea, Japan and the Pacific," the KCNA report said.

North Korea has conducted several tests of reconnaissance satellite systems in recent weeks, most recently this past weekend.
Authorities in South Korea, Japan, and the United States says the tests involved launches of ballistic missiles.

Kim defended the satellite work as not only about gathering information, but protecting North Korea's sovereignty and national interests, exercising its legitimate rights to self-defense, and elevating national prestige.

North Korea has carried out nine missile tests since January. One of those launches was a test of a Hwasong-12 mid-range ballistic missile. This marked the first time Pyongyang has tested a weapon that powerful since 2017.
Pyongyang restarted its missile tests after denuclearization talks with the United States came to a halt.
Former US President Donald Trump tried to reach an agreement with North Korea while in office. Kim and Trump met in Hanoi in 2019 for a summit that left nuclear talks at a standstill.
The pair had met three times since June 2018 but made little progress towards denuclearization.

The Biden administration reached out to North Korea shortly after taking office, but the country did not respond to those overtures.
In Biden’s first policy speech to Congress, he said nuclear programs in North Korea and Iran posed threats that would be addressed through “diplomacy and stern deterrence”.
Responding to that speech, North Korea dismissed the idea of talks with Washington, saying Biden’s speech was “intolerable” and “a big blunder

Wanakuja wapumbavu wanakwambia nchini korea ni umasikini sana, sijui hawana uchumi wowote wa maana, mara hakuna demokrasia na bla bla nyingi.

North korea wanaifundisha dunia umuhimu wa uhuru wa maamuzi ya nchi. Si vyema kupangiwa na mtu nini cha kufanya na nini usifanye.
 
Sasa mkuu mbona unaishabikia Russia kuivamia Ukraine pale ambapo Ukraine inajiamulia Mambo yao ya kuchagua matafiki?
 
Watch: Captured Russian soldier begs for forgiveness, says was lied to be Russian media

Alleged whistle-blower: Ukraine war a 'total failure'

by Taboola

North Korean leader Kim Jong Un said on Wednesday the country will launch a number of reconnaissance satellites in coming years to provide real-time information on military actions by the United States and its allies, Reuters reported, citing North Korea’s official news agency KCNA.
While inspecting North Korea's National Aerospace Development Administration, Kim said "a lot" of military reconnaissance satellites would be put into sun-synchronous polar orbit in the period of a five-year plan first announced last year.

"He noted that the purpose of developing and operating the military reconnaissance satellite is to provide the armed forces of the DPRK with real-time information on military actions against it by the aggression troops of the U.S. imperialism and its vassal forces in south Korea, Japan and the Pacific," the KCNA report said.

North Korea has conducted several tests of reconnaissance satellite systems in recent weeks, most recently this past weekend.
Authorities in South Korea, Japan, and the United States says the tests involved launches of ballistic missiles.

Kim defended the satellite work as not only about gathering information, but protecting North Korea's sovereignty and national interests, exercising its legitimate rights to self-defense, and elevating national prestige.

North Korea has carried out nine missile tests since January. One of those launches was a test of a Hwasong-12 mid-range ballistic missile. This marked the first time Pyongyang has tested a weapon that powerful since 2017.
Pyongyang restarted its missile tests after denuclearization talks with the United States came to a halt.
Former US President Donald Trump tried to reach an agreement with North Korea while in office. Kim and Trump met in Hanoi in 2019 for a summit that left nuclear talks at a standstill.
The pair had met three times since June 2018 but made little progress towards denuclearization.

The Biden administration reached out to North Korea shortly after taking office, but the country did not respond to those overtures.
In Biden’s first policy speech to Congress, he said nuclear programs in North Korea and Iran posed threats that would be addressed through “diplomacy and stern deterrence”.
Responding to that speech, North Korea dismissed the idea of talks with Washington, saying Biden’s speech was “intolerable” and “a big blunder

Wakati anafikiria hayo 5 years to come, Marekani itakuwa wapi?
 
Ha ha haaa, Mkuu North Korea sio Tanzania.

Haijaanza kurusha setilaiti leo (inazo setilaiti kadhaa angani tazama screen shot)

BTW Kwani makombora yote ya balistiki ikiwemo ICBM huwa anarusha Marekani ikiwa imelala?

Zinduka Mkuu, upo kwenye usingizi mzito

SmartSelect_20220310-131434_Chrome.jpg
 
Wakati anafikiria hayo 5 years to come, Marekani itakuwa wapi?
Kwamba miaka 5 ijayo Marekani itakuwa Mars ama wapi unapopajua wewe hakuinyimi North Korea nafasi ya kupanga ya kwake! Kusadikika wakasema, maisha ya mwanadamu ni mafupi hakuna haja ya kujenga nyumba za kudumu!! Eti unyayo wa mwanadamu ni mdogo hakuna haja ya kujenga barabara! Nakushauri usifanane nao!
 
Ha ha haaa, Mkuu North Korea sio Tanzania.

Haijaanza kurusha setilaiti leo (inazo setilaiti kadhaa angani tazama screen shot)

BTW Kwani makombora yote ya balistiki ikiwemo ICBM huwa anarusha Marekani ikiwa imelala?

Zinduka Mkuu, upo kwenye usingizi mzito

View attachment 2145504
North korea ni kelele tu mkuu kama hao russia waangalie wanavyo struggle huko Kiev, walijua siku 2 tu wataisambaratisha ukraine na Kiev sasa wameona watumie kemikali za sumu kuua watu maana kwa mkono wameshindwa
 
Wanakuja wapumbavu wanakwambia nchini korea ni umasikini sana, sijui hawana uchumi wowote wa maana, mara hakuna demokrasia na bla bla nyingi.

North korea wanaifundisha dunia umuhimu wa uhuru wa maamuzi ya nchi. Si vyema kupangiwa na mtu nini cha kufanya na nini usifanye.
Tunarudia tena North Korea ni maskini , na hawez chochote , hayo ni maneno tu ya kwenye kanga na Hana potentially yoyote duniani , n mwenye akili timamu hawez hata kupoteza mda kwake ...unapoitaja Marekani inatakiwa uwe na heshima , hata Raisi uliye naye Marekani ndo kamuweka ...!! Zamu yake huyo unayemtetea bado ngoja bosi wake ashuguulikiwe Kwanza akae sawa
 
Tunarudia tena North Korea ni maskini , na hawez chochote , hayo ni maneno tu ya kwenye kanga na Hana potentially yoyote duniani , n mwenye akili timamu hawez hata kupoteza mda kwake ...
Angalia hawa 'wasio na akili timamu' (kama ulivyoashiria hapo juu) wanavyopoteza muda wao kwa North Korea, ktk vipindi tofautitofauti

SmartSelect_20220310-142533_Chrome.jpg
 
Tunarudia tena North Korea ni maskini , na hawez chochote , hayo ni maneno tu ya kwenye kanga na Hana potentially yoyote duniani , n mwenye akili timamu hawez hata kupoteza mda kwake ...unapoitaja Marekani inatakiwa uwe na heshima , hata Raisi uliye naye Marekani ndo kamuweka ...!! Zamu yake huyo unayemtetea bado ngoja bosi wake ashuguulikiwe Kwanza akae sawa
Hahaha imebidi nicheke tu mkuu.
 
Wakuu katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na habari hii iliyoandikwa "North Korea to launch satellites to monitor U.S. and its allies".

Imenifikirisha sana. Hili kweli linawezekana?
===
North Korea will launch a number of reconnaissance satellites in coming years to provide real-time information on military actions by the United States and its allies, state media on Thursday reported leader Kim Jong Un as saying.

While inspecting North Korea's National Aerospace Development Administration, Kim said "a lot" of military reconnaissance satellites would be put into sun-synchronous polar orbit in the period of a five-year plan announced last year, state news agency KCNA reported.

"He noted that the purpose of developing and operating the military reconnaissance satellite is to provide the armed forces of the DPRK with real-time information on military actions against it by the aggression troops of the U.S. imperialism and its vassal forces in south Korea, Japan and the Pacific," the news agency said.

North Korea appears to be preparing to launch a reconnaissance satellite, which could prove as controversial as the nuclear-armed country's weapons tests because they use the same banned ballistic missile technology, experts say.

North Korea says it conducted two tests of satellite systems on Feb. 27 and March 5. Authorities in South Korea, Japan, and the United States says the tests involved launches of ballistic missiles.

The launches drew international condemnation and the U.S. military said on Thursday it had increased surveillance and reconnaissance collection in the Yellow Sea.

The United States also said it had heightened its ballistic missile defence readiness after a "significant increase" in North Korean missile tests.

Kim defended the satellite work as not only about gathering information but protecting North Korea's sovereignty and national interests, exercising its legitimate rights to self-defence, and elevating national prestige, KCNA reported.

"He stressed that this urgent project for perfecting the country's war preparedness capacity by improving our state's war deterrent is the supreme revolutionary task, a political and military priority task to which our Party and government attach the most importance," KCNA said.

The United States and its allies have condemned previous North Korean space launches as violations of U.N. Security Council resolutions that have imposed sanctions on North Korea over its nuclear and missile programmes.

North Korean leader Kim Jong Un inspects North Korea's National Aerospace Development Administration after recent satellite system tests, in Pyongyang, North Korea, in this photo released on March 10, 2022 by North Korea's Korean Central News Agency (KCNA).KCNA via REUTERS

'MILITARY SIGNIFICANCE'
North Korea has not tested a nuclear weapon or its long-range intercontinental ballistic missiles (ICBMs) since 2017, but has suggested in could resume such tests because talks with the United States are stalled.

Its latest flurry of missile launches could be groundwork for a return to ICBM and nuclear bomb tests this year, the U.S. Directorate of National Intelligence (DNI) said in its annual Worldwide Threat Assessment released this week.

A satellite launched into orbit would be the first since 2016.

Recent sub-orbital launches, which likely used road-mobile medium-range ballistic missiles, appeared designed to "pop the key components of an imagery reconnaissance satellite up to operational altitudes for a few minutes of testing", 38 North, a U.S.-based monitoring group, said in a report.

Such components, including satellite stabilisation, the imaging payload, and data transmission may have failed in previous tests and therefore required additional testing, the group said.

"It remains to be seen how capable any North Korean imagery satellite would be, the frequency of launches, or how many such satellites might be maintained in orbit at any one time—all key indicators of the actual military significance of such satellites," 38 North said.

Regardless, North Korea clearly sees this capability as having propaganda value and showcasing its technological prowess and effective leadership, it added.

A launch could make technical contributions to North Korea’s ICBM capability, depending on what type of rocket booster is used, 38 North said.

"It may also be the precursor to other more provocative developments mentioned by Kim, such as the testing of multiple-warhead missiles, solid-propellant ICBMs, and ICBM-range solid-propellant submarine-launched ballistic missiles," it said.
 
Back
Top Bottom