Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeye anaangalia yake ya US kua wapi sidhanii kama yanamuhusuWakati anafikiria hayo 5 years to come, Marekani itakuwa wapi?
kama US ambalo mnaaminishwa ndio taifa kubwa KISIASA KIUCHUMI na KIJESHI halikuweza kuiteka BAGHDAD ndani ya siku hizo mbiliNorth korea ni kelele tu mkuu kama hao russia waangalie wanavyo struggle huko Kiev, walijua siku 2 tu wataisambaratisha ukraine na Kiev sasa wameona watumie kemikali za sumu kuua watu maana kwa mkono wameshindwa
Mkuu jeshi la marekani lilitua Baghdad wiki 2 tukama US ambalo mnaaminishwa ndio taifa kubwa KISIASA KIUCHUMI na KIJESHI halikuweza kuiteka BAGHDAD ndani ya siku hizo mbili
mlitegemea kwamba nchi maskini mnavyoaminishwa kama RUSSIA ingeweza kufanya hvyo ndani ya siku mbili
poleni sanaa!
Mwanaume anaziweka na zitakaa.
Hiyo sio fegi inaitwa kaluunza ni very expensive aisee uschezee[emoji1787] dogo anakula fegi yake tartiib.