Kim Jong Un ampeleka binti yake kwenye kurusha kombora na hakuna anayejua kwanini

Kim Jong Un ampeleka binti yake kwenye kurusha kombora na hakuna anayejua kwanini

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Huko South Korea kuna picha zimeonekana bwana kiduku akimpleka binti yake sehemu ya kurusha makombora. Wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka na samaki mkunje kabla hujamkaanga.

Mtoto huyu inaonesha kuandaliwa kwenye uongozi.

IMG_0091.jpg
 
Kwaiyo kumuandaa mtu awe kiongozi lazma akapigwe kombora
 
Kumbe huyo kim jong ni kiongozi wa korea kusin???? [emoji849][emoji849]Na sio kaskazin
 
Huku kwenu wanaandaliwa kwa kusuta wenzao na kushindana kuimba singeli na taarabu, hahaaaaa balaa sana miafrika ndio tulivyo
Labda kina Makamba na vikatuni vyake twitter na Nape na vinukuu vyake uchwara, ila siyo Ridhiwan, hutaona ujinga ujinga anaoandika, labda kama anaandika kwa I'd fake.
 
Huko South Korea kuna picha zimeonekana bwana kiduku akimpleka binti yake sehemu ya kurusha makombora. Wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka na samaki mkunje kabla hujamkaanga.

Mtoto huyu inaonesha kuandaliwa kwenye uongozi.

View attachment 2422900
kwa mtizamo wa haraka haraka huyu binti itakuwa amepandikizwa sumu za kutosha kuhusu nchi za magharibi.

siku akija kupewa uongozi,atakuwa mwiba mkali na katili sana kwa maadui wa north korea.

marekani na mpambe wao south korea kazi wanayo.
 
Back
Top Bottom