Kim Jong-un makelele tu. Uwezo wa kijeshi wa jirani yake ni mkubwa mno

Kim Jong-un makelele tu. Uwezo wa kijeshi wa jirani yake ni mkubwa mno

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
chrome_screenshot_1658857438292.png
 
Panki ana mkwara tu kama sadam hana lolote
 
Kelele za nini, apute mchanga atie dole. Liwalo na liwe wagongane tupate dunia mpya tutakaokufa tufe, tutakaobaki tubaki.
Zipigwe tu

mkuu hiyo TIA DOLE PUTA
umenikumbusha lile SONGI LETU LA USWAHIRINI utotoni

SANDAKALAWE AMINA
MWEYE KUPATA APATE
MWENYE KUKOSA AKOSE
KIPAPATILO CHA KUKU
KUKU GANI MWEUPE
ANALIAJE KWIYO KWIYO
FB_IMG_1583625464889.jpg
 
North Korea hawana lolote ni chui wa karatasi tu, wanafikiri kuwa na uto tu nyuklia ndio kuwa na nguvu.
Nuclear Ni nguvu. Bila nuclear we Kama taifa utaendelea kuwa dhaifu. Bila nuclear utavamiwa na nuclear powers na ardhi itamegwa na Hakuna mtetezi.
Taifa bishani Bila nuclear utasingiziwa sababu ziso na maana I'll uchapwe hapohapo kwenu.
North Korea, Pakistan na hata Israel baada ya kugundua kuwa kitisho dhidi yAo Ni kikubwa nuclear missiles ikawa Ni suluhisho la kitisho Cha uvamizi kutoka popote duniani.
Iran nayo imeshagundua , japo inajitutumua lakini inajua bila nuclear Marekani atawaumiza kwa makombora siku si nyingi! Nayo inajitahidi kujenga mifumo hii.
Ni ngumu kusikia US ikitangaza Vita dhidi ya North Korea.
Ni ngumu pia Russia kutangaza Vita dhidi ya US kwanini? Sababu Ni nuclear!
Bila shaka hats Russia wasingejaribu kupiga wala wasingejaribu kuimega Ukraine ingelikua na Nuclear.
Narudia nuclear Ni nguvu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom