Kim Kardashian aibuka upya na picha za utupu

Kim Kardashian aibuka upya na picha za utupu

Mbona sioni Utupu Miss Zomboko?
Yuko tupu, tena utupu wa nyama. Nyie wengine macho yenu yametiwa giza na yana mipaka ya kuona. Mimi naona mpaka kule ghuba amekata panki
 
Kawaida inaezekana yupo kazini picha inaekwa kwenye jarida
 
Uchizi huanza hivyo kwa kuona vitu ambavyo haviko. Mwenzako Deogratias alidai humu kwamba wakuda wamemuwekea mikwara asitie mguu Dar hivyo kujenga matuta kuzunguka jiji lote la Dar lakini akadai pamoja na matuta hayo lazima atie mguu jiji la maraha. Jiongeze!

Yuko tupu, tena utupu wa nyama. Nyie wengine macho yenu yametiwa giza na yana mipaka ya kuona. Mimi naona mpaka kule ghuba amekata panki
 
sijaona utupu hapo, utupu aliweka mange jana wa yule dada anayejiita tzshaderroom
 
Hua najiuliza huyu hua anaenda cholni kweli,yaan maisha yake yalivyo tu utafikiri yupo peponi
 
Uchizi huanza hivyo kwa kuona vitu ambavyo haviko. Mwenzako Deogratias alidai humu kwamba wakuda wamemuwekea mikwara asitie mguu Dar hivyo kujenga matuta kuzunguka jiji lote la Dar lakini akadai pamoja na matuta hayo lazima atie mguu jiji la maraha. Jiongeze!
Hahahahahah kazi kweli
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hana hata mvuto

yuko fake kila sehemu sema ana hela tu za kutosha

Kunampiga picha mmoja alirusha picha zake bila kuedit wakamshitaki

Bila edit sisi ni warembo sana kwa kina Kim K
 
Hakuna kingine anachoweza fanya zaidi ya hicho... Kwa hiyo muacheni tu...

Kutwa nzima anashinda kwenye reality show yake...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom