Ibrahim300 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 390 Reaction score 68 Jan 10, 2014 #1 Kim Kardashian ni staa ambaye ana mwili wa kuvutia, na kila mtu atakubaliana na mimi hapa. Siku ya jana Alhamisi, Kim aliweza kuweka picha yake wakati alipokuwa shule ya upili na mwenzake Nicole Richie. Picha hii ya 'throughback thursday', Kim aliirusha kwa mtandao wa Instagram huku ikifuatiliwa na maandishi haya: oh so cool. Huh!, nani angedhania msichana huyu angefikia kiwango cha kuonyesha maungo ya mwili wake ili kupata umaarufu Chanzo KIM KARDASHIAN AKIWA MIAKA 13 (PICHA)- bkuHABARI
Kim Kardashian ni staa ambaye ana mwili wa kuvutia, na kila mtu atakubaliana na mimi hapa. Siku ya jana Alhamisi, Kim aliweza kuweka picha yake wakati alipokuwa shule ya upili na mwenzake Nicole Richie. Picha hii ya 'throughback thursday', Kim aliirusha kwa mtandao wa Instagram huku ikifuatiliwa na maandishi haya: oh so cool. Huh!, nani angedhania msichana huyu angefikia kiwango cha kuonyesha maungo ya mwili wake ili kupata umaarufu Chanzo KIM KARDASHIAN AKIWA MIAKA 13 (PICHA)- bkuHABARI
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,528 Jan 11, 2014 #2 wamekua sasa.........
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Jan 11, 2014 #3 Hiv huyu ni muhindi eti nahis mzaz wake mmoja ni chorii chorii