Kim kardashian akiwa miaka 13 (picha)

Kim kardashian akiwa miaka 13 (picha)

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Kim Kardashian ni staa ambaye ana mwili wa kuvutia, na kila mtu atakubaliana na mimi hapa.

Siku ya jana Alhamisi, Kim aliweza kuweka picha yake wakati alipokuwa shule ya upili na mwenzake Nicole Richie.

Picha hii ya 'throughback thursday', Kim aliirusha kwa mtandao wa Instagram huku ikifuatiliwa na maandishi haya:
oh so cool.
xyoung-kim-kardashian-and-nicole-richie.png.pagespeed.ic.b5LBQzzYSW.jpg

Huh!, nani angedhania msichana huyu angefikia kiwango cha kuonyesha maungo ya mwili wake ili kupata umaarufu

Chanzo KIM KARDASHIAN AKIWA MIAKA 13 (PICHA)- bkuHABARI
 
Hiv huyu ni muhindi eti nahis mzaz wake mmoja ni chorii chorii
 
Back
Top Bottom