Kim Kardashian aomba talaka kutoka kwa Kanye West baada ya miaka 6 na nusu ya ndoa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Yuulee star maarufu wa huko USA ambae umaarufu wake umetokana na sababu nyingi zikiwemo zile neema kubwa kubwa ametia nia mbele ya korti za Taifa hilo nambari moko akidai talaka kwa rapa mashuhuri Kanye West.

Duuuruu za unyetishajii huko America zinadai kuwa wawili hao waliooana kwa miaka 7 sasa na kujenga famili pamoja huku wakigonga kurasa za burdan koote dunian sasa wamechookaana

Kim mwenye 40 hiv sasa pamoja na mpenziwe huyo rapa wa huko ng'ambo ni maselebriti maarufu sana duniani

Kuhusu watoto Kim anaiomba mahakama iweke utaratibu...tovuti ya unyetishaji ya TMZ na shirika la news la UK [emoji636] ndho wenye wamebrekisha hizi nyuzi...
 
Yuulee star maarufu wa huko USA ambae umaarufu wake umetokana na sababu nyingi zikiwemo zile neema kubwa kubwa ametia nia mbele ya korti za Taifa hilo nambari moko akidai talaka kwa rapa mashuhuri Kanye West.
Mbwembwe tu za Kim hakuna taraka, maana anajua kaisha soko la mvuto nataka kupiga kiki ili awavutie watazamani wa reality tv
 
Baada ya miaka sita na miezi 6 ya ndoa, Kim Kardashian (40) anadai talaka kutoka kwa Mwanamuziki wa HipHop, Kanye West (43). Wawili hao walianza mahusiano 2012 na kufunga ndoa 2014.

Kim na Kanye waliopewa jina la 'Kimye' wamefanikiwa kupata watoto wanne: North West (7), Saint West (5), Chicago West (3) na Psalm West (miezi 21)

Hatua hiyo inaashiria mwisho wa moja kati ya mahusiano maarufu zaidi katika karne ya 21. Hii ilikuwa ndoa ya kwanza kwa Kanye West na ya tatu kwa Kim.





 
Maisha yao ni movie tosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…