Kim Kardashian aomba talaka kutoka kwa Kanye West baada ya miaka 6 na nusu ya ndoa

Kim Kardashian aomba talaka kutoka kwa Kanye West baada ya miaka 6 na nusu ya ndoa

Thats true, Kourtney is waaay better than kim, but KYLIE IS THE BADDEST....ndio mana nasemaga T-raw alikafaidi sana alianza kukakaza bado kapo under age, aisee.. Travis Scott anakojoa pazuri aisee
Kylie na yeye is full of plastic surgery.
 
Kylie na yeye is full of plastic surgery.

me wanawake nnaowapendaga ni kama bernice burgos sasa siku moja naangalia interview yake breakfast club naona anasema she also bought those assets, nikaona daah sasa kama wote wanaenda kujitia masilikon mbona hatariii
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mfaranyaki huku na Hollywood wapi na wapi Best! But thanks 🙏🏾 to internet mambo yote unaweza kuyanyaka kirahisi kabisa kama vile uko mamtoni 🤣🤣🤣🤣 jamaa kahama nyumbani miezi sasa kanunua nyumba hukooooo maeneo ya wazungu huko kuwaona weusi ni nadra sana.

Mrembo alikuwa akienda kumuona na kumsaidia usafi pia maana tetesi zinadai hata kutandika kitanda chake hatandiki. Jamaa ana tabia ya kununa nuna bila sababu na alishampiga marufuku mama mkwe asikae na wanawe bila sababu ya kueleweka.

Haijulikani kama hii divorce itakuwa kimya kimya ama itavuma kugombea mali, watoto na assets nyingine muhimu.

Hebu nielezee vizuri best, we uko nao hapo west hollywood gate 3, st007

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Miaka 6 ya ndoa na bado wanaachana😂😂 uchawi upo
 
Mbwembwe tu za Kim hakuna taraka, maana anajua kaisha soko la mvuto nataka kupiga kiki ili awavutie watazamani wa reality tv
Kim kardashan hata kama ameisha ana utajiri Wa dola 750,000,000/_ (750M) .huyo si mtu Wa njaa tena. hata kwa viwango vya Marekani. Mume wake kanye west ana (1.2 bilion dollars za US. Yeye anataka Uhuru tu anadai mume ni katili amechoka kuvumilia hill. Swala LA pesa kila kati yao kila mmoja najtoshleza halitajwi kwenye talaka.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Na madeni anayokiasi gani? Hiyo ni gross je net amount ni kiasi gani?
 
Operesheni ya kuendelea kuwafilisi Black Hipop Billionaire's
Walisainishana pre-nup.
Tusubiri tusikilize! Ka yatakuwa ya Dr Dre.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom