Kim Kardashian aomba talaka kutoka kwa Kanye West baada ya miaka 6 na nusu ya ndoa

Na madeni anayokiasi gani? Hiyo ni gross je net amount ni kiasi gani?
Nikiongea 750M za Kardashan na 1.2 billion za Kanye West zote ni net worth zao boss. Google na Forbes hawana muda Wa kuchambua unadaiwa na unadai kiasi gani. Ni kama mfano wakisema Jef Bezos ni tajiri namba moja duniani with net worth ya 160 bln dollars , halafu uulize na madeni yake ni kiasi gani, haiji.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Mrembo unamaanisha Kim K?

Haahaa Kanye kichwa chake masonic wamelala nacho mbele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...( joke)

Hivi kwanini alivurugika kichwa huyu jamaa??

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: BAK
Yes Kim K, sijui kama ni kweli ila inadaiwa kichwa kilivurugika baada ya kifo cha mama yake na juhudi za watu wengi kumsaidia ikiwemo Kim K ziligonga ukuta kwa yeye kukataa kuonana na hao wataalamu.

Donda West mbona kafa kitambo sana? [emoji848][emoji848][emoji15]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wale wazee wa "Wataachana tu" naona wanaelekea kuchukua ubingwa
 
Reactions: BAK
Miaka 6 ya ndoa na bado wanaachana[emoji23][emoji23] uchawi upo
Ukioa/ ukiolewa then ndoa yako ikatimiza muongo 1 shukuru Sana Mungu ... Wengi ndoa zao zimeshindwa kufikia hiyo level ya miaka
 
Reactions: BAK
Reactions: BAK
Si kuna watu wanamsimamia Mkuu? Sasa unadhani huyo mkewe na rafiki zake wa karibu WALIKUKURUPUKA tu from nowhere kutaka kumsaidia tatizo lake hilo la kuvurugika kichwa? Ana tatizo tena kubwa tu Mkuu kama lisiposhughulikiwa linaweza kuwa kubwa zaidi na hakuna anayejua repercussion yake.
Mimi naonaga Kama anafanya drama tu ... Mtu kavurugika kichwa huku una project kibao zinazo zidi kumsingizia mkwanja !?
 
Ngoja nikamtumie application ya kukava nafasi, watanzania muniombeee [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Mambo yao waachie wenyewe...

Kanye wa siku hizi amedata sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…