Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heheee AT- STICK SOME MORE
LEO SI IJUMAA......vitu laini laini
Haya wakuu, weekendi njema!!!!....
![]()
Acha urongo bana...Kimmy Cakes anatoka kwenye familia yenye hela. Baba yake, Robert Kardashian alikuwa mmoja wa mawakili wa OJ Simpson kwenye kesi yake ya mauaji na alikuwa ni milionea na aliwaachia hela nyingi wanawe kabla hajaaga dunia. Kimmy mwenye ana business ventures kibao...commercial endorsements, reality tv shows, n.k., of course bila sex tape yake na Ray J angeendelea kuwa mtoto wa super lawyer...but now she's her own woman...one woman conglomerate, if you will (or maybe kind of depending on how you look at things)
Kwa hiyo sidhani kama anahitaji hela za mwanaume yoyote.

hiyo sex tape yake inapatikana wapi?
Haya wakuu, weekendi njema!!!!....
![]()