Kim Kardashian Miezi Sita Baada ya Kujifungua Akiwa Kwenye Bikini [PICHA]

Kim Kardashian Miezi Sita Baada ya Kujifungua Akiwa Kwenye Bikini [PICHA]

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[h=3][/h]
[h=3][/h]

Hebu mcheki Kim Kardashian ambaye ni mchumba wa rapa maarufu, Kanye West, akiwa kwenye bikini, miezi sita tu baada ya kujifungua mtoto wake wa kike aitwaye North West.
Kim mwenye umri wa miaka 33 ambaye ni nyota wa vipindi vya halisia kwenye televisheni amedhihirisha tena kwa mashabiki wake kuwa kuna sababu hasa zinazomfanya kuwa mmoja kati ya wanawake wanaozungumziwa zaidi Duniani kwa sasa.
 
Wema wa bongo huyo ni mzuri huyu demu ila Amber ni kibokooo
 
Duh...basi hapo mademu wakiona picha kama hizi wanatamani wangekuwa na miili kama hii...
Lakini issue ni kuwa Kim wakati mwingine ni muongo,,,hizi picha alisema alipigwa na paparazi akiwa yeye hajui lakini kumbe ilikuwa ujanja wake tu...halafu pia hizi picha hazikuwa original,,,zilikuwa edited....Soma hio stori zaidi hapa>>>Picha Za Bikini Za Kim Kardashian: Zilikuwa Za Uongo, Zimepigwa Msasa - bkuHABARI
 
Jmn mbn Wema yuko vzur 2 hamkuona mic tz mwaka wake alpta na bikin anavutia kiukwel
 
Hebu mcheki Kim Kardashian ambaye ni mchumba wa rapa maarufu, Kanye West, akiwa kwenye bikini, miezi sita tu baada ya kujifungua mtoto wake wa kike aitwaye North West.
Kim mwenye umri wa miaka 33 ambaye ni nyota wa vipindi vya halisia kwenye televisheni amedhihirisha tena kwa mashabiki wake kuwa kuna sababu hasa zinazomfanya kuwa mmoja kati ya wanawake wanaozungumziwa zaidi Duniani kwa sasa.

wow....O.M.G!!!
 
hiv huyu ndio wanasema zgo la haja huko ulaya?
ehehehehehhe mwe kweli ili uijui nyeupe lazima nyeusi iwe karibu yako!
bas sawa!
 
Back
Top Bottom