Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
she did a few jobs kama sikosei..kwani sie hamtuoni jamani! nyie kaka zetu sijui mkoje,kha!
Kijungu cha kim k ni orijino...and she had to undergo x ray to prove that...hata ukicheki dada zake si haba..familia imejaliwa ile...mademu wa kibongo wana vijungu vikubwa lakini irregular,inshort hawavutii...
Basi usimalizie kusemaaaaa kwani ukimalizia moyo wangu unauchomaaaaaa. Kifupi mi nawafagilia sana warembo wetu wa Bongo ukiwemo wewe King'asti.i remember hiyo issue ya x-ray now. ila alifanya boob job? ww,umeona vijungu vingapi bana? hama mitaa unayohang, humu tu ukiona vijungu vya hawa madada wa jf utaomba poo!:mwaaah: ww vipi? haya kuleni kwa macho basi,eboo!:laser: