Kim Kardashian's Baby Bump!

Kim Kardashian's Baby Bump!

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,299
Kim-Kardashian-baby-bump-04.jpg
 
Naona siku hizi nguo za matenite hakuna tena.
 
she looks cute still! wengine tunakuwaga na pua ka goti mimba ya miezi minne tu! sha.ha.wa nyingine ni noumer, full poison wallah! cant wait for this cute little angel!
 
she looks cute still! wengine tunakuwaga na pua ka goti mimba ya miezi minne tu! sha.ha.wa nyingine ni noumer, full poison wallah! cant wait for this cute little angel!

mke mwenza mi nimempendaje usoni kwenye hiyo picha ya gauni la black and yt?
ila kale anakorusha mpira wa basket kale!uuuwih kamemchora sana bana!
 
duh, mbona nasikia washaachana na kanye.huyu kim nae ni mjanja sana kwa kuwatumia wanaume kwa maslahi ya vipindi vyake anavyorusha hewani kupitia runinga ya E!!!:yo:
 
Simpendi sana huyu dada anajisikia sana nimejaribu kufatilia habari zake mtandaoni nimeligundua hlo halafu mbona wa kawaida sana jamani sizani anaweza ona ndani kwa Alicia Keys
 
Simpendi sana huyu dada anajisikia sana nimejaribu kufatilia habari zake mtandaoni nimeligundua hlo halafu mbona wa kawaida sana jamani sizani anaweza ona ndani kwa Alicia Keys
Hata mimi cjaona uzuri wa kumpa sifa huyu mwanadada.
 
Back
Top Bottom