AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Imekaa njema sana hii sasa hapo kwenye bold kiwe ndio kituo kinachofuata hii nimeielewa sana huyo Chapombe Kim Philby akakimbilia Russia sasa hilo anguko hakulinusuru vipi?licha ya Philby kuwa shujaa kwa Soviet, hakuweza kuinusuru anguko la umoja wa USSR.
Picha mboni hazipo hapo anyway nimeelewa umemaanisha picha zote ulizoziweka humu basi sawa mkuuReference : spies among friends Ben Macintyre .
Picha :kwa hisani ya mtandao πππ
Sijagusia upande wa familia yake.. ila alikufa akiwa ameoa mara tatu... Mkewe wa pili aliyeitwa Aileen Philby alikuwa na Changamoto ya afya ya akili... Alikuwa anaugua ugonjwa fulani hivi wa kiakili wa kujidhuru peke yake ili kupata Attention ya mmewe (nimesahau jina).. maana me wake alikuwa bize sana na kuuza Siri za Taifa kwa wanywa Vodka wa Russia.. huyu Aileen alikufa kwa mshtuko wa moyo kutokana na kuzidisha pombe KABLA ya Philby kutorokea Russia.π