Kim Philby: Jasusi wa MI6 aliyesaliti kila mtu mpaka kivuli chake mwenyewe

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Kisi hiki cha Kim Philby ni moja ya visa vya kusisimua zaidi katika historia ya ujasusi Duniani. Ni simulizi ya mtu aliyefika kileleni mwa idara ya siri ya Uingereza huku akiwa anaitumikia adui wao mkubwa kwa siri kwa zaidi ya miaka 30 akiwa kama double agent. Kivipi?
Screenshot_20260607-060432~2.jpg

Philby akiwa na miaka 18.

6614.jpg

Kwanza kabisa Kim Philby alizaliwa mwaka 1912 kwa jina la Harold Adrian Russell Philby nchini India, wakati huo ikiwa chini ya utawala wa Uingereza. Baba yake aliitwa, St John Philby, alikuwa afisa wa serikali, msafiri na mtaalamu wa historia ya Mashariki ya Kati.
Jina hili hili la "Kim" lilitokana na mhusika mkuu wa riwaya ya Kim iliyoandikwa na mwandishi Rudyard Kipling, hadithi kuhusu mvulana anayejihusisha na harakati za ujasusi wakati nchi ya India ikiwa koloni la uingereza.
Kwa namna ya ajabu, jina hili la Kim huenda lilionekana kutabiri maisha yake ya baadaye.

Akiwa kijana, alisoma katika shule moja ya kifahari ya Eton nchini Uingereza na baadaye akajiunga na trinity college of London kisha University of Cambridge.
Wakati huu alipojiunga na chuo cha Cambridge ilikuwa ni Miaka ya 1930s na ilikuwa kipindi cha misukosuko ya Kisiasa barani ulaya.

Ni kipindi ambapo bara la Ulaya ilikuwa inashuhudia kupanda kwa utawala wa kifashisti wa Adolf Hitler nchini Germany na Benito Mussolini nchini Italy ambao ulikuwa tishio kubwa.
Wanafunzi wengi wa Cambridge wakati huo akiwemo Philby walihisi kuwa mfumo wa kibepari yaani capitalism ulikuwa ni mdhaifu katika kudhibiti na kupambana mifumo ya kifashisti.
Screenshot_20260607-060526~2.jpg

Chuo cha trinity college.. Chuo ambacho maagent wa KGB walijipenyeza kwa wingi kama sehemu ya kutafuta potential candidate wa kuwa double agent..kama akina Kim Philby.

Huyu dogo Philby alikumbatia itikadi ya ukomunisti na akaanza kuamini kuwa mustakabali wa dunia ulikuwa upande wa Soviet ambapo itikadi ya ujamaa ndio ulionekana suluhisho dhidi ya ufashisti..
Hapo ndipo maafisa wa siri wa Soviet wa KGB waliokuwa wamejipenyeza kama wanafunzi kwenye vyuo kama Cambridge walipomuona huyu Kim kama potential "recruit".
Badala ya kumwomba awe mwanachama wa chama cha kikomunisti hadharani, walimpa jukumu la ajabu sana:
"Acha kuonekana kama mkomunisti. Jifanye kuwa mzalendo wa Uingereza."💀☠️☠️
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa operesheni ya muda mrefu ya Soviet ya kupenya mifumo nyeti ya Taifa la Uingereza.

Sasa huyu Kim Philby alifikaje mpaka akajikuta ameajiriwa na MI6?....... Ni hivi;

Baada ya kumaliza masomo yake ya chuo aliajiariwa kama mwandishi wa gazeti la uingereza la THE TIMES akiripotia gazeti hilo akiwa nchini Hispania akiwa mmoja wa "correspondents" kuhusiana na Spanish civil war iliyokuwa ikiendelea huko kati ya vikosi vya waasi na jeshi la General Franco.
Philby akiwa katika harakati za uanahabari nchini Hispania almanusura auliwe na bomu la kurushwa . Wenzake kadhaa walikufa ila yeye aliponea kwa kupata majeraha kiasi kichwani.
Baada ya hapo alirudi uingereza na kupata honor military discharge na kutunukiwa nishani kadhaa za jeshi.
Screenshot_20260607-060748~2.jpg

Hapa kim Philby wa pili kushoto akiwa na military correspondents wenzake kwenye hafla . Wakati akiwa kama military ripota wa gazeti la the Times.

Ila huyu bwana Kim ndoto yake kubwa ilikuwa ni kujiunga shirika la MI6. Swali kubwa alilokuwa nalo akijiuliza ni hili "How do you join an organisation to which you cannot apply, because it doesn't formally exist?"

Anyway lakini huyu Kim alikuwa nani.. huyu bwana mdogo tayari alikuwa na mtandao mkubwa sana wa marafiki aliotengeneza tokea akisoma chuoni. Na kwakuwa alikuwa tayari ni mzoefu kwenye tasnia ya uandishi wa habari ukizingatia na ucheshi wake alikutana na mwandishi mmoja wa gazeti la Sunday express aliyeitwa Hester Harriet Marsden-Smedley.
Screenshot_20260607-060944~2.jpg
Na hapo ndipo hatua ya kwanza ku join MI6 ilipoanzia. Kiuhalisia huyu Hester Marsden alikuwa ni aina ya wale waandishi wa habari wenye connection hadi kwenye vitengo nyeti vya usalama ikiwemo MI5 na MI6. Na hapo ndipo Philby alipokutanishwa na baadhi ya watu wengine kadhaa ndani ya system.
Haikuchukua muda MREFU Philby aliitwa kufanyiwa usahili wake kwenye hoteli moja iliyoitwa Ermin hotel iliyokuwa karibu na hifadhi ya st James park mjini London. Aliyekuwa anamfanyia usahili alikuwa ni chief of staff wa Idara ya Section D. Ndani ya MI6 na mwanamama aliyeitwa Sara Algeria Marjorie Maxse.
Screenshot_20260607-061026~2.jpg

Kiuhalisia section D ilikuwa ni idara ndani ya MI6 iliyokuwa inahusika na operation za siri za kijeshi na Herufi D ilikuwa inamaanisha "Destruction".
Na hapo Kim Philby akawa amemaliza usahili na kufanyiwa background check na faili lake kuwa clean tayari kwa kujiunga na MI6. Kiuhalisia Kim Philby asingekutana na kizuizi kwenye kujiunga na hii Exclusive club ya MI6 kwakuwa baba yake licha kuwa alikuwa mtawala wa kikoloni huko India, alikuwa tayari amejijengea jina la heshima kwenye serikali ya uingereza na alikuwa na connection hadi kwenye shirika la MI6 hivyo Kim isingekuwa vigumu kwake kuwa selected.

Baada ya hatua hii Kim alistaafu rasmi kama mwandishi wa gazeti la The times kisha kutakiwa kuripoti kwenye jengo mojawapo lililo karibu na makao makuu ya MI6 lilojulikana kama Brickendobury hall kwenye mji wa Hertfordshire. Hii ilikuwa ndio shule ya basic trainings ya MI6 kwa ajili ya kuwanoa majasusi wa nchi mbalimbali kuhusiana na operesheni za siri yaani covert operations. Baada ya hapo akajiunga na shule nyingine ya Beaulieu iliyoko kwenye mji wa Hampshire ambako kulikuwa kunatolewa mafunzo ya mawasiliano ya siri ,njama , propaganda n.k. Na ndio hapo Kim Philby aliajiariwa akiwa kama Lecturer akitoa mafunzo kuhusiana na propaganda n.k.

Hivyo basi Wakati huo wa vita kuu ya pili ya Dunia Philby alionekana kuwa mzalendo wa kweli.
Akiwa kama mwandishi wa habari, akafanya kazi za serikali, na hatimaye akaajiriwa katika MI6.
Hakuna aliyemshuku kuwa afisa huyu mwenye haiba nzuri kwamba alikuwa tayari ni agent wa Soviet.Kadiri miaka ilivyopita alipanda vyeo kwa kasi ndani ya MI6.
Kilichowashangaza wengi baadaye ni kwamba Philby hakufika tu MI6; alifika sehemu nyeti sana za taasisi hiyo.
Alipewa jukumu la kuratibu operesheni za kupambana na ujasusi wa Soviet akisimamia kitengo cha counterintelligence
Kwakifupi ni kwamba :
Mtu aliyekuwa akiongoza vita dhidi ya Soviet alikuwa akifanya kaz kwa siri na Soviet.
Sasa basi katika harakati za kuvujisha Siri za uingereza kwenda kwa Soviet ,Kim Philby huyu hakuwa pekee yake . Alikuwa ni miongoni mwa mtandao wa maafisa wa uingereza waliokuwa tayari ni mapandikizi ya Soviet nchini uingereza uliojulikana kama The Cambridge Five.

Kundi hili lilijumuisha watu kama:Guy Burgess, Donald Maclean, Anthony Blunt Na John Cairncross.
Kwa miaka mingi hawa jamaa walikuwa wakivujisha siri za serikali za Uingereza na washirika wake kwenda Moscow.(The Cambridge five hii ni topic nyingine nzito sana kujadili..... Acha tujikite na huyu mmoja kwanza Kim Philby).

Akiwa mwajiriwa rasmi wa MI6 Kim Philby alivujisha Siri nyeti na nzito sana za MI6 pamoja za CIA kwa mawakala wa Soviet na hii ikapelekea operation nyingi za kiusalama kuwa compromised na damaged beyond repair........

Kim Philby hakuvujisha tu taarifa za kawaida. Akiwa ndani ya MI6 na akifanya kazi kwa siri kwa niaba ya Soviet Union, alifichua mamia ya maagent na operesheni nyingi za Magharibi. Baadhi ya operesheni alizozivuruga na madhara yake makubwa ni haya:

1. Kuvuruga operesheni za kupenyeza mawakala Ulaya Mashariki.

Baada ya vita kuu ya II, Marekani na Uingereza zilijaribu kuingiza maagent kwa siri katika nchi zilizokuwa chini ya muungano wa Soviet kama Albania, Ukraine na maeneo mengine ya Ulaya Mashariki.
Philby alikuwa akipokea mipango hiyo mapema kaiwa kwenye Idara ya MI6 ya counterintelligence na mafaili ya siri ya operesheni hizo alituma copy zake Moscow.
Na Matokeo yake yalikuwa mabaya sana:
Maagent wengi walikamatwa mara tu walipotua huku Wengine wakiuawa mfano agent mmoja aliyeitwa volkov .

2. Operesheni ya Albania.
Operesheni hii kwa jina lingine hujulikana kama operation Valuable.Hii ndiyo operesheni iliyotajwa mara nyingi kama pigo kubwa zaidi alilosababisha Kim Philby.
Kuhusu operesheni hii ni kwamba shirika la CIA na MI6 walikuwa wanajaribu kuangusha serikali ya kikomunisti ya dikteta Enver Hoxha nchini Albania.
Screenshot_20260607-061134~2.jpg

Enver Hoxha.Rais dikteta wa Albania .

Sasa basi Wakimbizi kadhaa wa Albania walifundishwa na mashirika haya kisha kupelekwa nchini humo kwa siri ili kuanzisha uasi kwa lengo la kuiangusha serikali ya Hoxha. Lakini Philby alikuwa tayari huu mpango anaujua Sasa akawa anawatemea na kuwavujishia Soviet na Albania mafaili ya siri ya operesheni hii.
Sasa Karibu kila kundi lililotumwa kwa ajili ya kuanzisha jaribio la kuipindua na kuiangusha serikali ya dikteta huyu wa Albania lilikamatwa au kuuawa. Operesheni nzima iligeuka kuwa janga.
Wanahistoria wengi wanaamini kuwa bila usaliti wa Philby, operesheni hiyo ingeweza kuwa na nafasi kubwa zaidi ya kufanikiwa.
Screenshot_20260607-061243~2.jpg

Screenshot_20260607-061214~2.jpg

Picha hizi mbili ni za raia wa Albania ambao walikuwa wakimbizi waliopewa mafunzo ya kijeshi na MI6 pamoja na CIA kwa lengo la kuanzisha uasi nchini Albania kwa lengo la kuudondosha utawala wa Hoxha. Lakini wengi walikuwa kila kundi lilipojaribu kuingia Albania.. Tayari mipango yao ilikuwa ishavujishwa na Kim Philby.

3. Kuwafichua maagent wa Magharibi ndani ya Soviet Union.

Kwa kuwa marekani na uingereza nao walikuwa wamepenyeza maagent wao ndani ya nchi za kisoviet, huyu Philby Moja ya kazi zake muhimu ilikuwa kufikisha majina ya watu waliokuwa wakifanya kazi kwa siri ndani ya Soviet Union na kuwachomea.
Kwa kufanya hivyo maagent wengi walikamatwa.Baadhi walihukumiwa kifungo na Wengine walinyongwa au kuuawa.
Idadi kamili haijulikani hadi leo, lakini uharibifu uliokuwa umetokea ulikuwa mkubwa sana.
Wahanga wa Kim Philby alikuwa kostantin Volkov ambaye alikamatwa na urusi kisha akauliwa. Mwingine alikuwa ni agent aliyeitwa Walter Krivistky aliyekufa kifo cha utata akiwa Marekani.

4. Kuvujisha mipango ya CIA na MI6 dhidi ya Soviet.

Kwakuwa Philby alikuwa mkuu wa kitengo cha counterintelligence kilichoshughulika na shughuli za kupambana na Soviet ndani ya MI6 Alikuwa na uwezo wa kuona Mipango ya kuajiri maagent, Njia za mawasiliano ya siri,Orodha za watuhumiwa wa ujasusi,Operesheni za kuvuka mipaka n.k.
Taarifa nyingi kati ya hizi zilifika moja kwa moja kwa KGB.

Kwa maana nyingine, Moscow mara nyingi ilijua mapema kile ambacho Washington na London walikuwa wanapanga.

5. Kuwatahadharisha Donald Maclean na Guy Burgess
Mwaka 1951 zilitokea tetesi kuhusiana na uwezekano wa kukamatwa kwao.
Kumbuka Kuna mahali nimekugusia kuhusiana na mtandao wa the Cambridge five.. Sasa MI6 walianza kuwafuatilia kwa karibu maafisa hawa wawili yaani Donald MacLean na Guy Burgess kuhusiana na fununu kwamba ni mapandikizi ya Soviet ndani ya shirika la MI6. Sasa wakati huo Kim Philby akiwa amepanda cheo ndani ya MI6 akiwa kama station chief wa MI6 kwenye ubalozi wa uingereza nchini Marekani alipata Taarifa hizi kuhusiana na hawa mabeshte zake kwamba wanawindwa akiwa huko Washington DC. Sasa kipindi hicho Philby akiwa Marekani alitembelewa na huyu rafiki yake guy Burgess. Hivyo akampa umbea yaani "tip off" akimtaadharisha awe makini yeye pamoja na Donald MacLean kwamba wanahisiwa kuwa ni double agent ndani ya MI6 hivyo ikiwezekana "Wasepe"..kuepuka kukamatwa.
Sasa Baada ya huyu Guy Burgess kurudi uingereza akamsanua MacLean kwamba tayari wapo kwenye radar surveillance na muda wowote wangekamatwa wakihisiwa ni maagent wa KGB ndani ya MI6.... Na kweli baada ya muda mwaka 1951 hawa jamaa wawili wakatoroka kusikojulikana.... Baada ya miezi kadhaa ikasemekana walitorokea Moscow.....kazi ya snitch Kim😎😎😎.. Hii ilikuwa pigo moja zito sana kwa shirika hili la ujasusi la uingereza.
_86263493_86260479.jpg

Donald MacLean na Guy Burgess

6. Kuvujisha siri za ushirikiano kati ya Marekani na Uingereza.
Philby alifanya kazi kwa karibu sana na CIA huko marekani, akiwa kama MI6 station chief kwenye ubalozi wa uingereza huko Washington DC.
Alitengeneza urafiki wa karibu na maafisa wa ngazi za juu wa CIA, hasa James Jesus Angleton.
Kutokana na nafasi hiyo, alipata ufikiaji wa Taarifa nyingi za siri za Marekani ambazo kwa kawaida afisa wa Uingereza asingepaswa kuziona. HAPO ndipo Moscow ilipata dirisha la moja kwa moja kuchungulia ndani ya mipango ya kijasusi ya Marekani. Kwakuwa James Jesus angleton alikuwa ni rafiki mkubwa wa Philby, hata baadhi ya Taarifa za siri za CIA alijikuta akizitoa kwa rafiki huyu akiamni ni rafiki kwakuwa wamesomea chuo kimoja uingereza. Lakini Philby kila alilokuwa akiambiwa ,tayari KGB Moscow walikuwa wanazipata info's zote kiurahisi sana....

Wataalamu wengi wa historia ya ujasusi humweka Philby katika kundi la juu kabisa la majasusi waliofanikiwa kuwahadaa wapinzani wao.
Mpaka Philby anafanikiwa kwenye level hii ya usaliti ni kwamba He spied on everyone include his friends and no one spied on him.

Kile kinachofanya kisa cha huyu mwingereza Philby kuwa cha kutisha zaidi si kwamba hakuiba Taarifa za siri pekee, bali pia kwa miaka mingi alikuwa mmoja wa watu muhimu waliotegemewa zaidi ndani ya mfumo aliokuwa anausaliti .. 💀💀☠️

Itaendelea😎😎
 
Kisi hiki cha Kim Philby ni moja ya visa vya kusisimua zaidi katika historia ya ujasusi Duniani. Ni simulizi ya mtu aliyefika kileleni mwa idara ya siri ya Uingereza huku akiwa anaitumikia adui wao mkubwa kwa siri kwa zaidi ya miaka 30 akiwa kama double agent. Kivipi?
View attachment 3602723
Philby akiwa na miaka 18.

View attachment 3602724
Kwanza kabisa Kim Philby alizaliwa mwaka 1912 kwa jina la Harold Adrian Russell Philby nchini India, wakati huo ikiwa chini ya utawala wa Uingereza. Baba yake aliitwa, St John Philby, alikuwa afisa wa serikali, msafiri na mtaalamu wa historia ya Mashariki ya Kati.
Jina hili hili la "Kim" lilitokana na mhusika mkuu wa riwaya ya Kim iliyoandikwa na mwandishi Rudyard Kipling, hadithi kuhusu mvulana anayejihusisha na harakati za ujasusi wakati nchi ya India ikiwa koloni la uingereza.
Kwa namna ya ajabu, jina hili la Kim huenda lilionekana kutabiri maisha yake ya baadaye.

Akiwa kijana, alisoma katika shule moja ya kifahari ya Eton nchini Uingereza na baadaye akajiunga na trinity college of London kisha University of Cambridge.
Wakati huu alipojiunga na chuo cha Cambridge ilikuwa ni Miaka ya 1930s na ilikuwa kipindi cha misukosuko ya Kisiasa barani ulaya.

Ni kipindi ambapo bara la Ulaya ilikuwa inashuhudia kupanda kwa utawala wa kifashisti wa Adolf Hitler nchini Germany na Benito Mussolini nchini Italy ambao ulikuwa tishio kubwa.
Wanafunzi wengi wa Cambridge wakati huo akiwemo Philby walihisi kuwa mfumo wa kibepari yaani capitalism ulikuwa ni mdhaifu katika kudhibiti na kupambana mifumo ya kifashisti.
View attachment 3602725
Chuo cha trinity college.. Chuo ambacho maagent wa KGB walijipenyeza kwa wingi kama sehemu ya kutafuta potential candidate wa kuwa double agent..kama akina Kim Philby.

Huyu dogo Philby alikumbatia itikadi ya ukomunisti na akaanza kuamini kuwa mustakabali wa dunia ulikuwa upande wa Soviet ambapo itikadi ya ujamaa ndio ulionekana suluhisho dhidi ya ufashisti..
Hapo ndipo maafisa wa siri wa Soviet wa KGB waliokuwa wamejipenyeza kama wanafunzi kwenye vyuo kama Cambridge walipomuona huyu Kim kama potential "recruit".
Badala ya kumwomba awe mwanachama wa chama cha kikomunisti hadharani, walimpa jukumu la ajabu sana:
"Acha kuonekana kama mkomunisti. Jifanye kuwa mzalendo wa Uingereza."💀☠️☠️
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa operesheni ya muda mrefu ya Soviet ya kupenya mifumo nyeti ya Taifa la Uingereza.

Sasa huyu Kim Philby alifikaje mpaka akajikuta ameajiriwa na MI6?....... Ni hivi;

Baada ya kumaliza masomo yake ya chuo aliajiariwa kama mwandishi wa gazeti la uingereza la THE TIMES akiripotia gazeti hilo akiwa nchini Hispania akiwa mmoja wa "correspondents" kuhusiana na Spanish civil war iliyokuwa ikiendelea huko kati ya vikosi vya waasi na jeshi la General Franco.
Philby akiwa katika harakati za uanahabari nchini Hispania almanusura auliwe na bomu la kurushwa . Wenzake kadhaa walikufa ila yeye aliponea kwa kupata majeraha kiasi kichwani.
Baada ya hapo alirudi uingereza na kupata honor military discharge na kutunukiwa nishani kadhaa za jeshi.
View attachment 3602726
Hapa kim Philby wa pili kushoto akiwa na military correspondents wenzake kwenye hafla . Wakati akiwa kama military ripota wa gazeti la the Times.

Ila huyu bwana Kim ndoto yake kubwa ilikuwa ni kujiunga shirika la MI6. Swali kubwa alilokuwa nalo akijiuliza ni hili "How do you join an organisation to which you cannot apply, because it doesn't formally exist?"

Anyway lakini huyu Kim alikuwa nani.. huyu bwana mdogo tayari alikuwa na mtandao mkubwa sana wa marafiki aliotengeneza tokea akisoma chuoni. Na kwakuwa alikuwa tayari ni mzoefu kwenye tasnia ya uandishi wa habari ukizingatia na ucheshi wake alikutana na mwandishi mmoja wa gazeti la Sunday express aliyeitwa Hester Harriet Marsden-Smedley. View attachment 3602729Na hapo ndipo hatua ya kwanza ku join MI6 ilipoanzia. Kiuhalisia huyu Hester Marsden alikuwa ni aina ya wale waandishi wa habari wenye connection hadi kwenye vitengo nyeti vya usalama ikiwemo MI5 na MI6. Na hapo ndipo Philby alipokutanishwa na baadhi ya watu wengine kadhaa ndani ya system.
Haikuchukua muda MREFU Philby aliitwa kufanyiwa usahili wake kwenye hoteli moja iliyoitwa Ermin hotel iliyokuwa karibu na hifadhi ya st James park mjini London. Aliyekuwa anamfanyia usahili alikuwa ni chief of staff wa Idara ya Section D. Ndani ya MI6 na mwanamama aliyeitwa Sara Algeria Marjorie Maxse.
View attachment 3602727

View attachment 3602731
Enver Hoxha.Rais dikteta wa Albania .

Sasa basi Wakimbizi kadhaa wa Albania walifundishwa na mashirika haya kisha kupelekwa nchini humo kwa siri ili kuanzisha uasi kwa lengo la kuiangusha serikali ya Hoxha. Lakini Philby alikuwa tayari huu mpango anaujua Sasa akawa anawatemea na kuwavujishia Soviet na Albania mafaili ya siri ya operesheni hii.
Sasa Karibu kila kundi lililotumwa kwa ajili ya kuanzisha jaribio la kuipindua na kuiangusha serikali ya dikteta huyu wa Albania lilikamatwa au kuuawa. Operesheni nzima iligeuka kuwa janga.
Wanahistoria wengi wanaamini kuwa bila usaliti wa Philby, operesheni hiyo ingeweza kuwa na nafasi kubwa zaidi ya kufanikiwa.View attachment 3602732
View attachment 3602733

View attachment 3602736

Ngoja niusome huu uzi wote na kuukariri, kisha nitaenda kijiweni kuwahadithia wazee wenzangu hadi wataacha kucheza bao na kuukodolea mdomo wangu.

Naamini wataniheshimu na kuniona mtu mwenye madini kichwani..... Kwa umri eshima ni kitu muhimu bhana!
 
Hakika mdau.. heshima inatafutwa kwa nguvu🤣🤣🤣🤝😎
 
Sehemu ya 2.Anguko la Philby.

2.

Safari ya kumtilia shaka Kim Philby ilikuwa ndefu na yenye utata mkubwa. Alishukiwa mara kadhaa kuwa agent wa Sovieti, lakini kila mara aliweza kujinasua kutokana na ushahidi kutokuwa wa kutosha na kutokana na marafiki wenye ushawishi ndani ya taasisi za ujasusi za Uingereza Hususani MI6.

Kwa nini alianza kushukiwa?
Iko hivi Mwaka 1949, afisa wa usalama wa Sovieti aitwaye Konstantin Volkov alijaribu kukimbilia upande wa Uingereza akiwa Istanbul. Akaahidi kufichua majina ya maagent wa Sovieti waliokuwa ndani ya serikali ya Uingereza, akiwemo mmoja wa ngazi za juu kwenye shirika la MI6.

Jambo ambalo Waingereza hawakujua ni kwamba Philby mwenyewe alikuwa huyo agent wa Sovieti. Kama mkuu wa kitengo cha MI6 kinachoshughulikia Sovieti, Kim Philby alipewa jukumu la kushughulikia taarifa za Volkov. Aliwasiliana haraka na Moscow, na Volkov akatekwa na Sovieti kabla hajatoa ushahidi wake. Tukio hili lilizua mashaka sana, lakini hakuna aliyekuwa na ushahidi dhidi ya Philby.

Kisa cha Burgess na Maclean .
Mwaka 1951, maafisa wawili wa mtandao wa Cambridge Spy Ring maarufu kama the Cambridge five, Guy Burgess na Donald Maclean, walikimbilia Soviet .
Tatizo lilikuwa kwamba Burgess alikuwa akiishi nyumba moja na Philby huko Washington kipindi Philby akiwa anafanya kazi kwenye ubalozi wa uingereza huko Washington akiwa kama MI6 station chief. Wapelelezi wa MI5 na MI6 pamoja na washirika wao CIA na FBI wa marekani wakaanza kujiuliza:
Kwa nini rafiki wa karibu kabisa wa Philby alikuwa jasusi yaani double agent?
Wapelelezi wakaendelea kujiuliza Je, Philby naye alikuwa sehemu ya mtandao huo?
Kutokana na maswali hayo, Philby alijikuta ameondolewa kwenye kazi yake kama MI6 station chief na akaanza kuchunguzwa ila hakukamatwa.

Kwa nini hakukamatwa?
Ingawa mashaka yalikuwa makubwa dhidi yake, hakukuwa na ushahidi wa moja kwa moja wa kumtia hatiani.
Kwa mfano Afisa wa MI5 Dick White na wengine walimhoji kwa muda mrefu, lakini Philby alikuwa mwerevu sana katika kujitetea. Aidha, marafiki wake wenye nguvu ndani ya taasisi za serikali waliamini kuwa alikuwa mwaminifu. Hapa nataka nikudokezee jambo kwenye hii point kwanini Philby hakukamatwa..
Ni kwamba Kim Philby alikuwa na mtandao mpana wa marafiki ndani ya MI6 waliokuwa wanamtetea akiwemo rafiki yake mkubwa kabisa aliyeitwa Nicholas Elliott.View attachment 3602754
Nicolas Elliott afisa wa M16 rafiki yake mkubwa kabisa Kim Philby.. huyu jamaa alimtetea sana Philby kuhusiana na ishu ya usaliti wake wa kuwa double agent.

Na hapa ndipo bifu kati ya MI5 na MI6 lilipoanzia. MI5 walitaka Philby achunguzwe na kushtakiwa lakini MI6 walikuwa wanamkingia kifua mwezao kwa kumtetea .

Tukienda hadi Mwaka 1955, Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Harold Macmillan baada ya mjadala mzito kumhusu Philby kujadiliwa kwenye bunge la uingereza,alitangaza rasmi katika Bunge kwamba hakuna ushahidi wa kumhusisha Philby na ujasusi wa Sovieti.
Tangazo hilo lilisafisha jina la Philby mbele ya umma.
View attachment 3602757
Kim Philby akifanya press conference kwa ajili ya kulisafisha jina lake mbele ya umma akisema yeye hakuwa "third man" third man ikimaanisha yeye hakuwa agent wa tatu wa Soviet Baada ya marafiki zake wawili Donald MacLean na Guy Burgess.

View attachment 3602760
Sehemu ya makalakwenye gazeti la The Evening standard likijaribu kumjadili Kim Philby kama msaliti wa tatu Baada ya marafiki zake wawili Donald MacLean na Guy Burgess.

Licha haya yote baada ya Philby kukaa Bench kwa muda MREFU kutokana na tuhuma zilizokuwa zinamkabili alijikuta anarudishwa tena Kazini kama afisa wa MI6. Ni kwamba Hakurejeshwa rasmi kama afisa wa kudumu wa MI6 kwa mara moja. Badala yake, baada ya miaka michache Aliruhusiwa kufanya kazi kama mwandishi wa habari kwenye gazeti la The Observer na The Economist huko Beirut Lebanon.

Sasa MI6 iliendelea kuwasiliana naye kwa siri na kumtumia katika kupata info's za siri kwenye maswala ya siasa za mashariki ya kati ikiwemo vuguvugu la Islamic revolutions lililokuwa linaendelea Maeneo hayo.

Hatimaye akawa kama afisa wa MI6 anayefanya kazi kwa misingi ya mkataba na taarifa maalum, akiwa mjini Beirut. HILO LIKAWA KOSA MOJA BAYA ZAIDI LILILOIGHARIMU MI6 hadi Leo hii unaposoma hiki kisa hapa j.f.

Sasa Maafisa wengi wa MI6 wakiwemo mabeshte zake waliamini kuwa alikuwa anasingiziwa na Tayari alikuwa amesafishwa kutokana na tuhuma za awali zilizokuwa zinamkabili. And guess what maisha yakaendelea.....

Sasa bwana Mwishoni mwa miaka ya 1950 na mwanzoni mwa 1960, ushahidi mpya ulianza kujitokeza taratibu dhidi ya tuhuma za huyu Kim Philby kutoka kwa afisa mmoja wa KGB , aliyeitwa Anatoliy Golitsyn. Huyu Anatoliy aliamua kusaliti KGB na kukimbilia uingereza.
Sasa Taarifa zake zilielezea kwamba kulikuwa na Mole wa Sovieti kwenye ngazi ya juu ndani ya shirika la MI6, na maelezo aliyoyatoa huyu bwana kila yalipounganishwa dot yalikuwa yanamwangukia huyu Philby.🤔🤔☠️💀

Hivyo basi Mwaka 1963, rafiki yake Philby na wa karibu, Nicholas Elliott ambaye pia alisoma naye chuo na ambaye alimtetea sana mwanzoni , alitumwa Beirut kumhoji.

Katika mazungumzo yao ya mahojiano , Elliott alimweleza kwamba ushahidi mpya ulikuwa mzito sana na kwamba serikali ya Uingereza ilikuwa tayari kufungua uchunguzi mpya dhidi yake.Baada ya mahojiano hayo, Philby hakukamatwa mara moja. Hii ilikuwa kosa kubwa la MI6.
Sababu kadhaa zikatajwa:
Kwanza Elliott alikuwa rafiki yake wa muda mrefu na alitumaini angeweza kushirikiana kwa hiari. Pili Serikali ya Uingereza ilitaka kuepuka kashfa ya umma kabla ya kupata ushahidi kamili dhidi ya mtu wao wa mfumo.
Tatu ni kwamba Beirut haikuwa chini ya mamlaka ya moja kwa moja ya polisi wa Uingereza hivyo isingekuwa rahisi kumkamata Philby akiwa huko.

Philby aliwekwa chini ya uangalizi, lakini haukuwa uangalizi wenye ulinzi mkali.☠️☠️💀
Sasa Usiku wa tarehe 23 Januari 1963 , Philby alitoweka kwenye mazingira ya kutatanisha akiwa Beirut.Inaaminika kwamba mawasiliano yake na KGB walikuwa tayari wameandaa mpango wa kumtorosha. Philby alitorokea bandarini na kupanda meli ya mizigo ya Sovieti iliyokuwa ikielekea USSR.
Baada ya siku kadhaa za kumatafuta bila kuonekana, ilidhihirika kwamba alikuwa ametoroka kabisa. Baadaye Philby alifika Moscow, ambako alipokelewa na KGB kama mmoja wa agent wao muhimu zaidi kuwahi kufanya kazi ndani ya Uingereza.
Maisha yake Moscow
Alipofika Moscow alipewa uraia wa Russia.
Akawa analipwa penshen pamoja na nyumba .
Mwanzoni hakukabidhiwa majukumu makubwa kwa sababu baadhi ya maafisa wa KGB walikuwa na mashaka naye.
Baadaye muda ulivyoenda alitumiwa kufundisha akiwa kama Lecturer maafisa wa ujasusi kuhusu mbinu za MI6 na MI5.
Philby aliishi Moscow hadi alipofariki mwaka 1988. Alizikwa kwa heshima za serikali ya Sovieti na kutambuliwa kama mmoja wa maagent waliofanikiwa zaidi katika historia ya KGB.
Kitu kinachowashangaza wanahistoria wengi ni kwamba baada ya kukaa kwa kutiliwa mashaka kwa zaidi ya miaka 10, Philby hakutoroka kwa kutumia pasipoti bandia au operesheni ya kishujaa; alifanikiwa hasa kwa sababu mamlaka za Uingereza hazikumkamata mara moja baada ya kuhojiana naye naye akiwa Beirut. Dakika na siku chache za kusitasita kwa MI6 zilitosha kumpa nafasi ya kutoweka kwa Jasusi huyu chapombe na kufika Moscow.
View attachment 3602761
Harold Adrian Russell Philby almaarufu Kim Philby akiwa kwenye tabasamu ndani ya Moscow Russia.
 
Back
Top Bottom