Kima cha chini ni sh ngapi kwa ongezeko la leo?

Kima cha chini ni sh ngapi kwa ongezeko la leo?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mimi sijasikia mkuu wa nchi akamka kuwa sasa hivi kima cha chini kitakuwa sh ngapi.

Aliyesikia atufafanulie kwa msaada zaidi.

Fungukeni.
 
Hiv halmashaur kima Chan walipa ngap
 
Angalieni salary slip zenu mwezi huu,Kuna mafuriko km yale ya Jangwani....
 
Tulia kwanza wapige mahesabu, ila ikumbukwe kuwa nyongeza ya mshahara ni pamoja na ongezeko la madarasa na hospitali tulizojenga....tembeeni kifua mbele !
 
Back
Top Bottom