MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Duh........😎Tokea asubuhi hapa Ifakara, waziri Mchengerwa na mama Samia wamekaa meza moja kwa masaa kadhaa, hii sio sawa kimaadili ya kitanzania.
Nini kifanyike?
Waziri Mchengerwa aachie nafasi zote za kisiasa ambazo zinazomuweka karibu na rais kuliko kawaida ikiwezekana aende hata Chadema.
Pamoja na kwamba mimi sio muumini wa hayo majizi ya kura, kwani amekaa naye kama mama mkwe, au amekaa naye kama mamlaka yake ya uteuzi?Tokea asubuhi hapa Ifakara, waziri Mchengerwa na mama Samia wamekaa meza moja kwa masaa kadhaa, hii sio sawa kimaadili ya kitanzania.
Nini kifanyike?
Waziri Mchengerwa aachie nafasi zote za kisiasa ambazo zinazomuweka karibu na rais kuliko kawaida ikiwezekana aende hata Chadema.
Lazima maadili yafuatwe kwa gharama yoyotePamoja na kwamba mimi sio muumini wa hayo majizi ya kura, kwani amekaa naye kama mama mkwe, au amekaa naye kama mamlaka yake ya uteuzi?
Tokea asubuhi hapa Ifakara, waziri Mchengerwa na mama Samia wamekaa meza moja kwa masaa kadhaa, hii sio sawa kimaadili ya kitanzania.
Nini kifanyike?
Waziri Mchengerwa aachie nafasi zote za kisiasa ambazo zinazomuweka karibu na rais kuliko kawaida ikiwezekana aende hata Chadema.
Ndipo HOJA nyuma ya HOJA inapoanzia,Pamoja na kwamba mimi sio muumini wa hayo majizi ya kura, kwani amekaa naye kama mama mkwe, au amekaa naye kama mamlaka yake ya uteuzi?
Sio Kwa waswahili mkuuTokea asubuhi hapa Ifakara, waziri Mchengerwa na mama Samia wamekaa meza moja kwa masaa kadhaa, hii sio sawa kimaadili ya kitanzania.
Nini kifanyike?
Waziri Mchengerwa aachie nafasi zote za kisiasa ambazo zinazomuweka karibu na rais kuliko kawaida ikiwezekana aende hata Chadema.
Kwani huyo rais hawezi kutenganisha kazi na mambo ya familia?Ndipo HOJA nyuma ya HOJA inapoanzia,
Iweje Rais amateur mkwewe kuwa waziri?
Vipi ikitokea amepishana na mkewe home na mkewe akamsimulia mama,
Ofisi itakalika?
Kwa hiyo unataka akae na wewe?Tokea asubuhi hapa Ifakara, waziri Mchengerwa na mama Samia wamekaa meza moja kwa masaa kadhaa, hii sio sawa kimaadili ya kitanzania.
Nini kifanyike?
Waziri Mchengerwa aachie nafasi zote za kisiasa ambazo zinazomuweka karibu na rais kuliko kawaida ikiwezekana aende hata Chadema.
Wewe unaweza muajiri mama mkwe wako, Kisha akawa secretary wako na mkafanya KAZI vizuri tu?Kwani huyo rais hawezi kutenganisha kazi na mambo ya familia?
Bashe alisema tutalima mpunga mabonde ya SukariTokea asubuhi hapa Ifakara, waziri Mchengerwa na mama Samia wamekaa meza moja kwa masaa kadhaa, hii sio sawa kimaadili ya kitanzania.
Nini kifanyike?
Waziri Mchengerwa aachie nafasi zote za kisiasa ambazo zinazomuweka karibu na rais kuliko kawaida ikiwezekana aende hata Chadema.
Kwa mtazamo wako, sio kwamba mteuaji ashutuwe badala ya mteuliwaji?Tokea asubuhi hapa Ifakara, waziri Mchengerwa na mama Samia wamekaa meza moja kwa masaa kadhaa, hii sio sawa kimaadili ya kitanzania.
Nini kifanyike?
Waziri Mchengerwa aachie nafasi zote za kisiasa ambazo zinazomuweka karibu na rais kuliko kawaida ikiwezekana aende hata Chadema.