utakuwa mtu wa bariadi weweTokea asubuhi hapa Ifakara, waziri Mchengerwa na mama Samia wamekaa meza moja kwa masaa kadhaa, hii sio sawa kimaadili ya kitanzania.
Nini kifanyike?
Waziri Mchengerwa aachie nafasi zote za kisiasa ambazo zinazomuweka karibu na rais kuliko kawaida ikiwezekana aende hata Chadema.