Kimaadili ya kitanzania, mtu hatakiwi kukaa meza moja na mama mkwe siku nzima. Mchengerwa badilika

utakuwa mtu wa bariadi wewe
 
Ndipo HOJA nyuma ya HOJA inapoanzia,

Iweje Rais amateur mkwewe kuwa waziri?

Vipi ikitokea amepishana na mkewe home na mkewe akamsimulia mama,

Ofisi itakalika?
Museveni kampa uwaziri mtoto wake wa kumzaa unashangaa SSH kumpa uwaziri mkwewe?.

Yapo mengi ya kujadili kwa kina, huu uzi umekaa kishambenga.
 
Amevaa kofia yenye nyota moja , anajifanya ni mjeshi, wakati ni kijambio Tu 😂
NAPE, JANUARY MAKAMBA, KINANA, NDALICHAKO, DK.MABULA NA THE LIKE WANAJUA NGUVU ZA MCHENGERWA.

MCHENGERWA NDIO RAIS AJAYE MTAKE MSITAKE.

WADANGANYIKA/WATANGANYIKA mtakumbuka shuka kumekucha.
 
Wakijamba hapo hupati harufu ya ushuzi, ni udi na perfume kwa kwenda mbele.

Unafikiri ni kama mama mkwe wako, kikwapa kwa kwenda mbele.
 
Uko sahihi mfano akapumua ile harufu unafanyaje
 
Walikuwa wawili tu au kuna watu wengine pia walikuwepo?
Kwenye kundi la watu wengi, mama mkwe huwa anabadilika na kuwa kama mama mzazi. Mama mkwe ni mama mkwe tu tunapokuwa tupo nyumbani au tumekusanyika kifamilia
 
Kweli mkuu
 
Ana kifua kipana tuliambiwa

Pia ahakikishe chama kinashonda serikali za mitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…