masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Nyanda za Juu Kusini, Mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, Rukwa hata Katavi imenyanyapaliwa sana na Awamu ya Tano kimaendeleo.
Mikoa hii ndiyo bread basket ya nchi-wazalishaji wakubwa wa chakula.
Mwaka huu wamezalisha mahindi mengi kuliko uwezo wa Serikali.
Pengine Magufuli alitembelea mikoa hiyo mara moja au mbili wakati katika utawala wake Mwanza /Geita/Chato ni mara moja tu mbili kwa mwezi kukagua miradi.
Sasa hata nchi za nje zimeona hilo, na mabalozi wao kwa ujumla wametembelea mikoa hiyo.
Rais Samia tupia jicho huko tafadhali.