Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Kumbukizi ya mwaka huu, maneno ya Mbunge wa Nyasa yanajieleza.
Bila shaka kutoka Nyanda za juu mpaka Mtwara ni mkeka tu, na huyu mzee atakumbukwa kwa kazi zake zilizoshikika.
Mkuu hiyo meli umeiweka tu, arabara kuelekea hapo toka Kyela HAKUNA.
Na mipango ya barabara toka Mwara ilijengwa toka enzi ya Mkapa.
Jamaa alipoingia madarakani,
WITHIN 5years,
Chato International Airport,
Chato Intrnational hospital,
Ferry mpya ya Busisi,
Daraja la Busisi,
SGR kuelekea Mwanza, VETA Chato,
CRDB Chato iliyolazimishiwa,
Hoteli ya kitalii kimataifa Chato,
Burigi National park~Chato ampapo wanyama walipelekwa kwa bodaboda!
etc. etc. etc!
Hapo hujaweka Baraza lake la Mawaziri ambao pamoja na kina Kalemani wa Chato, about mawaziri 10 kutoka Kwao Geita, Mwanza au kanda ya Ziwa.
Jamaa alikuwa Rais wa wanyonge wa Chato.