Kimaendeleo Awamu ya Tano iliinyanyapaa Nyanda za Juu Kusini. Mabalozi EU watembelea

Mkuu tunachosema jamaa ameacha uongozi in a bad taste.
Upendeleo kimaendelei na nyadhifa, ukabila, unyanysaji, utesaji(wasiojulikana), hivi vitu vimachafua utendaji wake.
Hata umpambe vipi.
 
Reli ya Moshi ulifufua wew bawasiri wa machame

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
The potential to grow must lie in the people, and not in fertile soils or minerals, to mention a few.

Failing that, the latter might just as well be in Antarctica if not a far away planet.

The likes of Elon Musk are already contemplating the takeover of Mars and other planets.

You lamenters in bongo are going to be taken over by the lesser varieties of pirates(the new Cecil Rhodeses) and I can assure you they will tie you in mind chains and at times,cut your stupid throats.
 
Wagawanye uwatawale
Jukumu namba moja la balozi yeyote ni kutetea maslahi ya taifa lake hivyo tukumbuke wao wako kwenye kutetea maslahi yao na sio vinginevyo.
Tena ieleweke vyema maslahi yao si shruti kuwa maslahi yetu pia
 
Sikubaliani na wewe mkuu, mataga walikuwa hawataki kufanya ziara Kusini ila maendeleo yalifangika kama kawaida.
 
Mikoa ya southern highlands inapotential sana, ila wao wanaitenga, kuimega na kuanzisha mikoa mipya. Kama kuivunja Mbeya na kuanzisha mkoa mpya, lile lilikuwa ni kosa basi tu kiburi cha viongozi. Hata Iringa na Rukwa nazo hivyo hivyo, wamejimegea tu.
Kosa gani hapo sasa? Mbeya na wanyakyusa walikuwa wanajipendelea ukaundwa Songwe,Iringa wahehe walikuwa wanajipendelea tukaunda Njombe,the same to Rukwa na Katavi
 
Hao watu wa kaskazini na Mbeya wanajionaga akili mingi lakini nawajulisha tu nyinyi saizi hamna namna tena kanda ya ziwa hamuiwezi tunakula sahani moja kwenye shule,biashara n.k
Mna uchumi wa kutuzidi Kusini lakini au ndio mnategemea migodi iwavushe?
 
Acha upuuzi ,thibitisha hiyo 40% ndio tuanze kujadili hoja .

Mwisho tugawane kikanda Ili tuone nani ni nani
 
Kipi kilikosekana na ulitaka kifanyike?

Kwetu Songwe tumepata hospital 2 kubwa ya mkoa na ya Tunduma, barabara ya lami kutoka Mpemba hadi Malawi.
Acha uongo.
Barabara ya Mpemba ina dua sua kwa miaka sasa na wala hsigiki milima ya Ileje.
 
Acha uongo.
Barabara ya Mpemba ina dua sua kwa miaka sasa na wala hsigiki milima ya Ileje.
Wewe hujui kitu nyamaza Magufuli kajenga hospital za kanda mtwara mara na maeneo mengine wewe mpuuzi unaongea ushuzi hapa! Acha ujinga!
 
Hao watu wa kaskazini na Mbeya wanajionaga akili mingi lakini nawajulisha tu nyinyi saizi hamna namna tena kanda ya ziwa hamuiwezi tunakula sahani moja kwenye shule,biashara n.k
Tukijishanda kstika maendeleo katika level playing ground hakuna shida.
Lakini mada hii ni unyanyapaa mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini.
Mara SGR, Chato Airport, Busisi daraja na kivuko etc etc.
Kama baba Mwendazake alitakiwa kusambaza miradi mikubwa nchi nzima.
Tazama sasa kajenga li Sirport likubwa Chato, hela zetu, uwanja unatua kunguru tu.
 
Na JK alizungumzia hii barabara kwenye Bunge la Kenya alipopewa nafasi ya kulihutubia akiwa kwenye siku zake za mwisho mwisho pale Ikulu..Na alisema wazi kuwa benki ya maendeleo ya Africa imesharidhia kuweka mzigo kwenye ujenzi huo.
 
Yaani kwa taarifa yako nyinyi na sisi kanda ya ziwa tunawapiga gepu kila idara iwe shule, biashara hata kilimo pia sisi ndo tunalima huko kwenu mbeya na mpanda! Kwenye madini ndo usiseme!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…