Kimahesabu Simba atavuka hatua ya makundi na kwenda Robo Fainali CAF

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Kumbuka mimi ni mtu wa mpira na nilishacheza mpira katika kiwango cha juu sana mpaka nikapewa jina la ALPHONCE MODESTE

SIMBA ANAPITA KUENDA ROBO KWA HESABU HIZI ZIFUATAZO KATIKA MECHI NNE ZA MWISHO

NEXT MATCH ANACHEZA NA VIPERS .hapa vipers ya uganda inaenda kula goli mbili kwa mtungi na hapo ndio tunaanza kuifuta robo maana kule lazima horoya atakufa goli 4 kavu

Mechi inayofuatia baada ya hapo ni simba tena dhidi ya vipers ambayo itafanyika kwa mkapa hapa nchi na nyie wote ni mashahidi hapa simba anashinda goli tatu kwa sifuri

Hapo itakuwa tayar tuna points 6 kibindoni huku raja akiwa na points 12 na horoya nne huku vibonde vipers wakiwa na point 1 tu ya ngama.

Baada ya vipers kunyolewa kwa mkapa anakuja tena horoya hapa kwa mkopa na yeyea anachezea goli zake mbili alafu anarudi kwao huku ikiwa vipers kashadungwa goli tano tena kwa mara ya pili na raja

Hapo tunakuwa na points 9 huku raja akiwa na points 15

Mechi ya mwisho tunafungwa goli 4 kwa sifuri na raja huku horoya akishinda goli moja dhidi ya vipers

Kwa hiyo sasa msimamo utasoma hivi

Raja casablanca 18 pts
Simba 9 pts
Horoya 7pts
Vipers 1 pts

Kariri bandiko langu mimi ni mtu wa karama. Mimi ni mtu wa maono

Hata ikitokea tukadraw na vipers kwa 7 points bado tunavuka hatua ijayo ya robo kwa kuwa mpinzani wetu atakuwa horoya itakuwa tumempiga goli nyingi kwa mkapa. Bado advantage ipo kwa simba

Simba anatisha na simba anapita. Kifupi simba itakuwa na mwisho mwema kwahiyo wana simba wasikate tamaa kabisa

Nawasilisha
 
Kutoka kwenye kwa Mkapa hatoki mtu hadi kufikia hatua ya kuhesabu kwa vidole. Endelea kuhesabu hivyo hivyo ila tayari Horoya ana 4 kibindoni. Huyo Vipers mnayemuona ndio mnyonge wa kundi kuna uwezekano wa kutopata point tatu uganda. Wao wamefungwa goli 5 away simba 3 home. Hivyo tegemea lolote
 
Hiki kipigo tulichopata leo kimetulewesha, lakini.ni kweli Siimba bado ana nafasi ya kwenda robo fainali.

Sharti ya hili kuwezekana, lazima akashinde ugenini kwa Vipers kufidia pointi tatu alizopoteza leo, then ashinde game mbili za nyumbani, dhidi ya Vipers na Horoya.

Simba Nguvu Moja[emoji1306][emoji1306]
 
Kumbuka mimi ni mtu wa mpira na nilishacheza mpira katika kiwango cha juu sana mpaka nikapewa jina la ALPHONCE MODESTE

SIMBA ANAPITA KUENDA ROBO KWA HESABU HIZI ZIFUATAZO KATIKA MECHI NNE ZA MWISHO

NEXT MATCH ANACHEZA NA VIPERS .hapa vipers ya uganda inaenda kula goli mbili kwa mtungi na hapo ndio tunaanza kuifuta robo maana kule lazima horoya atakufa goli 4 kavu

Mechi inayofuatia baada ya hapo ni simba tena dhidi ya vipers ambayo itafanyika kwa mkapa hapa nchi na nyie wote ni mashahidi hapa simba anashinda goli tatu kwa sifuri

Hapo itakuwa tayar tuna points 6 kibindoni huku raja akiwa na points 12 na horoya nne huku vibonde vipers wakiwa na point 1 tu ya ngama.

Baada ya vipers kunyolewa kwa mkapa anakuja tena horoya hapa kwa mkopa na yeyea anachezea goli zake mbili alafu anarudi kwao huku ikiwa vipers kashadungwa goli tano tena kwa mara ya pili na raja

Hapo tunakuwa na points 9 huku raja akiwa na points 15

Mechi ya mwisho tunafungwa goli 4 kwa sifuri na raja huku horoya akishinda goli moja dhidi ya vipers

Kwa hiyo sasa msimamo utasoma hivi

Raja casablanca 18 pts
Simba 9 pts
Horoya 7pts
Vipers 1 pts

Kariri bandiko langu mimi ni mtu wa karama. Mimi ni mtu wa maono

Hata ikitokea tukadraw na vipers kwa 7 points bado tunavuka hatua ijayo ya robo kwa kuwa mpinzani wetu atakuwa horoya itakuwa tumempiga goli nyingi kwa mkapa. Bado advantage ipo kwa simba

Simba anatisha na simba anapita. Kifupi simba itakuwa na mwisho mwema kwahiyo wana simba wasikate tamaa kabisa

Nawasilisha
𝑯𝒊𝒛𝒊 𝒉𝒆𝒔𝒂𝒃𝒖 𝒉𝒂𝒛𝒊𝒏𝒂 𝒕𝒐𝒇𝒂𝒖𝒕𝒊 𝒏𝒂 𝒌𝒊𝒍𝒊𝒎𝒐 𝒄𝒉𝒂 𝒘𝒉𝒂𝒕𝒔𝒂𝒑𝒑

𝑲𝒘𝒂 𝒈𝒓𝒐𝒖𝒏𝒅 𝒎𝒂𝒎𝒃𝒐 𝒏𝒊 𝒕𝒐𝒇𝒂𝒖𝒕𝒊
 
Tunau quote kama ifuatavyo...

Hapa hata ukifuta au kuedit uzi, hii kumbukumbu ya awali itabaki
 
Mpira wa motivation speakers,Kwa kifupi pale kwenye kundi levo yetu ni vipers
 
Kutoka kwenye kwa Mkapa hatoki mtu hadi kufikia hatua ya kuhesabu kwa vidole. Endelea kuhesabu hivyo hivyo ila tayari Horoya ana 4 kibindoni. Huyo Vipers mnayemuona ndio mnyonge wa kundi kuna uwezekano wa kutopata point tatu uganda. Wao wamefungwa goli 5 away simba 3 home. Hivyo tegemea lolote
Hahahah nimecheka sana [emoji1787]
 
20230218_211334.jpg

Hii hapa,je ataweza?
 
Back
Top Bottom