Kimahesabu Simba atavuka hatua ya makundi na kwenda Robo Fainali CAF

Mmeanza kuwa wataalamu wa hesabu
 
Sawa mtafuzu
Wiki kesho siyo mbali
 
Nimeuscreenshot huu uzi
 
Ukiona team inacheza mpira kwa vidole jua hakuna team
 
Bahati ipo ila chama langu mwaka huu limesajili kwa kuunga unga sana yaani kwa kuokota ukota wachezaji,sitegemei sana Kama itafanya vizuri kwa Sasa,mpaka kocha tumemuokota mwishoni,tujiandae kisaikolojia tu
 
Simba anashika mkia kwenye kundi lake. Horoya na vipers watapata point kwa mkapa na kule uganda simba atapigwa
 
Hi timu kila siku inajipa moyo inajiona inajua kumbe ni zero kabisa
 
Nafasi wachezaji wenyewe kina Kibu na Sawadogo
 
Kwanza simba ikikaa vibaya, kwa mkapa anaweza akaacha pointi 2 vs Horoya
 
mbona hujaweka horoya atakua anashindaje au anafungwaje
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] ila kama ulivyosema kimahesabu
 
[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…