Kimalkia bado kipo au ndiyo kimekufa na Malkia

Kimalkia bado kipo au ndiyo kimekufa na Malkia

Izia maji

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,997
Reaction score
5,385
Kwa miaka 70 sasa lugha ya kiingereza imekuwa ikiitwa kimalkia na waswahili wengi.

Je bado kiingereza kitaitwa kimalkia au ki-charles, au ki-mwinyi?
 
Back
Top Bottom