mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Tukisema mnashirikiana nao mnabisha na kutoa statement ndefu na waraka, mnataka kusema hamjui kuna mapango ya Panya Road na vibaka hapa Kimara Resort upande wa Theofil Ngowi Sec?
Yaani mtu unatoka kazini unaona jamaa wanatoka na mapanga marungu visu bisibisi na wameshajeruhi raia kadhaa na wengine kuibiwa kila kitu mnaripotiwa hamna kitu mnafanya ila tuliyosikia ni kuwa Polisi wanagawana nao vitu wanavyoiba mtaani.