Kimara Resort pana mapango ya Panya Road na Polisi hawafanyi kitu

Kimara Resort pana mapango ya Panya Road na Polisi hawafanyi kitu

mkuu manen matup bila ushahid wa sauti picha au video hayawez kusaidia kitu mahakaman .. kusanya ushaidi kwanza .dunia imechange haitak ushaidi kwan we haujui kwan we haujaona
Sawa na wewe siku ukivamiwa jirekodi kidogo ue na ushahidi ee baba halafu ndio uwape wezi hiyo simu yako waondoke wakuachie ushahidi
 
Sawa na wewe siku ukivamiwa jirekodi kidogo ue na ushahidi ee baba halafu ndio uwape wezi hiyo simu yako waondoke wakuachie ushahidi
chief jb swal kwa points na sio hisia.... nimekuuliz unao ushaid gn km polisi wanashirkiana na panya road haujanjb una panic
 
chief jb swal kwa points na sio hisia.... nimekuuliz unao ushaid gn km polisi wanashirkiana na panya road haujanjb una panic
Tatizo la keyboard worrior hamuelewi yanayoendelea mtaani nyie watoto wa kota daddy am back mom am going tulieni acheni tupambane na matatizo yetu mtaani 😁😁
 
Jeshi la Police lilifanya kazi wakati wa Magufuri.Kwasasa wingi wao hawana mda tena kulilinda jiji la Dar pamoja na hamisha hamisha.
 
Back
Top Bottom