Wizi wa Meter za maji maeneo ya Kimara Stop Over nyumba zaidi ya 8 Meter zimeng'olewa usiku (usiku wa kuamkia Jumamosi Oct 31, 2026). Tumeenda DAWASA Kimara wamesema watakuja kufunga lakini mpaka sasa bado. Tunapata wakati mgumu kwa kuwa huduma ya maji imesimama kwa sasa kutokana na changamoto hiyo.
Hivi hizo Meter zinaibwa zinapelekwa wapi? Maana hiyo si mara ya kwanza kwa matukio ya aina hiuo, wanaofanya hivyo inamaanisha wanajua wanakozipeleka, ni kwamba zinaenda kutumiwa tena au zinauzwa kama vyuma chakavu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.