RESOLVED KERO Kimara Stop Over maji hakuna, tukiuliza Wahudumu wa DAWASA Mtaani wanasema “DAWASA imeishiwa mtaji wa kuzungusha maji”

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Sasa hivi mvua zinanyesha mikoani na hata Dar wakati mwingine Stop Over (kimara) huu ni mwezi wa pili hatuna maji, hii ni changamoto sana wahudumu wa DAWASA mtaani tunawauliza wanasema DAWASA imeishiwa mtaji wa kuzungusha maji 😭

Kwakweli hii ni changamoto sana maji tunanunua kwenye gari Lita 1,000 kwa Shilingi 30,000 na wakati mwingine hawapatikani 😭

Naomba kama Mh Waziri wa maji ataona ili atoe tamko kwa kweli hii ni aibu na fedheha jiji kubwa namna hii tunasota kama miaka ya 70🙌🙌🙌

Pia soma ~ DAWASSA: Kimara Stop Over wameanza kupata maji baada ya maboresho ya miundombinu
 
Sasa hivi mvua zinanyesha mikoani na hata Dar wakati mwingine Stop Over (kimara) huu ni mwezi wa pili hatuna maji, hii ni changamoto sana wahudumu wa DAWASA mtaani tunawauliza wanasema DAWASA imeishiwa mtaji wa kuzungusha maji 😭

Kwakweli hii ni changamoto sana maji tunanunua kwenye gari Lita 1,000 kwa Shilingi 30,000 na wakati mwingine hawapatikani 😭

Naomba kama Mh Waziri wa maji ataona ili atoe tamko kwa kweli hii ni aibu na fedheha jiji kubwa namna hii tunasota kama miaka ya 70🙌🙌🙌
poleni sana
 
Mambo ya CCM ndo yalivyo hovyo hovyo
 
Stopover haikuwaga hivi, maji yalikuwa yanatoka 24/7 ila sasa kwa wiki mara moja!
 
Back
Top Bottom