Sajo
Platinum Member
- Nov 8, 2010
- 4,540
- 8,256
Barabara ya Morogoro maeneo ya Kimara “Ukanda wa Gaza” kuna jambo linachanganya kidogo
Wakati wa JPM tuliambiwa waliojenga ndani ya mita 60 za barabara wavunje majengo yao. Nyumba zikabomolewa, hata vituo vingi vya mafuta vilivyokuwepo vilikula umeme.
Lakini sasa mbona vituo vipya vya mafuta vimeibuka na vinaendelea kujengwa karibu kabisa na barabara kwenye hifadhi ya barabara? Na vingine umbali wake ni kama mita 300 tu kutoka kituo hadi kituo
Swali la kujiuliza: Je, Sheria zimebadilika au kuna watu wamepata “ruhusa maalum”?
TANROADS walivyobomoa vya zamani walikuwa wanazingatia nini, na hivi vipya vinavyoibuka kila baada ya hatua chache vinafuata utaratibu gani?
Au huku “Gaza” kuna mipango maalum ambayo wananchi wa kawaida hatuielewi?
Wadau wa ujenzi, mipango miji na sheria za barabara tupeni elimu kidogo hapa.