Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,577
Kuna watu wanajifanya eti hawaitaki harufu mbaya ya maliwatoni, kwani inawakera na wakati huo huo wao wanajifungia maliwatoni na kulalamika sasa sijui tuwaweke kundi gani.kama yuko CCM basi ajue kuwa ataunganishwa na mafisadi: atake asitake.
Kuna watu wanajifanya eti hawaitaki harufu mbaya ya maliwatoni, kwani inawakera na wakati huo huo wao wanajifungia maliwatoni na kulalamika sasa sijui tuwaweke kundi gani.
Hii ni sawa na wanaojifanya kuupinga ufisadi wakati wanang'ang'ania kuwa ndani ya CCM, ambayo ni mzazi wa mafisadi.
Kimaro si mpumbavu, kisha assess hali ya jimbo lake na kujiaminisha kuwa atashinda. Hivi baada ya uchaguzi mdogo kule Tarime hawa kina Mrema wawili wako katika terms za kuweza kuachiana ugombea? Nani atamwachia mwenzake ili Kimaro asirudi bungeni?
Kimaro hana lolote kwa jimbo lake. Mashamba anataka yagawiwe watanzania wenye uwezo wakati wale wasio na uwezo hawana hata ardhi ya kulima mahindi na maharagwe. For sure watu wenye uwezo ni pamoja na yeye, naamini anatamani sana yale mashamba. Kimaro ni bepari, hata anapokuwa anasemea habari za mafisadi ni kwa vile hakupata chance naye angekuwa ni mmoja wao. Mzee huyu anajulikana kwa unafiki wake.
Ndesamburo ndiye aliyeweka wazi katika swali lake la nyongeza kuwa anataka mashamba yagawiwe wale wote wako katika abject poverty. Ambapo ni sahihi kabisa ukilinganisha na uhaba wa ardhi kwa watu wa Kilimanjaro, hasa wachagga.
Yale mashamba kwa sasa yanalima mbogamboga na si kahawa na wengine wanalima mahindi, tofauti na mikataba ilivyoelekeza. Mengine hayalimwi kabisa. Nafahamu kuwa ardhi ni mali ya serikali, lakini ikumbukwe kuwa ardhi ile iko mkoani Kilimanjaro na wana haki nayo. Ni afadhali wananchi wa maeneo husika wagawiwe na walime mazao maana kahawa imeshaonekana ni failure kabisa.
Serikali jalini maslahi ya wananchi kwanza, na nina hakika hata meneo yaliko mashamba hayo hata ukigawa hawatoshelezi kwani demand ni kubwa mno. I wish ningekuwa President wa nchi hii. Ningefanya maamuzi ya ajabu yote yakimlenga mzalendo. Yaani tumesahau wazalendo hawa ambao ndiyo wanawapa kura?? Too sad.
Kwa kuwa CCM watasimamisha wagombea wawili kwenye Jimbo moja ,basi wa CHADEMA hana haja ya kumwachia wa CCM.
Aloyce Bent Kimaro-CCM
Agustino Lyatonga Mrema-CCM (KUSIMAMIA MASUALA YA USHUSHUSHU}
Sawa mkuu.Amekusikia kwani yupo hapa hapa JF.Kimaro hajui nguvu za Lowassa, aulizie Kyela na yule kijana wake anaye mpinga Dr wa sheria....mbinu chafu chafu
Sawa mkuu.Amekusikia kwani yupo hapa hapa JF.
Kimaro mkuu.Yupi sasa, Kimaro, Lowassa ama kijana wake?
Kimaro mkuu.
Mwambie kwenye PM basi achangie JF mkono mtupu haulambwi!
Wavunjo wengi wanasubiri kumpatia Mrema kura zao.
Kuanzia mpakani mwa Rombo, MWIKA, MSAE,MAMBA,MARANGU, n.k