Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
- Thread starter
- #81
Fafanua zaidi mkuu, umefumba sanaMtafutie kipindi kigumu usikosee anavokuja kukumbuka anaililia Iko ndani inapekecha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua zaidi mkuu, umefumba sanaMtafutie kipindi kigumu usikosee anavokuja kukumbuka anaililia Iko ndani inapekecha
Hii ni kweli mkuuSipaswi kukuaminu saaaana juu ya hii simulizi maana wewe ni STORY TELLER
Ukiwa na maana kuwa, baada ya yeye kunitafuta, itabidi nianze kufuata hatua za mahusiano ya kimapenzi. Niachane na suala la kimasihara? Au? Nina muda mchache wa kama siku 10 hivi, nataka kurudi mkoaniUSIMTAFUTE tena....!! muache ipo siku atakutafuta tena na akikutafuta kamwe usimuombe msamaha wala kuongelea ya nyuma yaliyotokea hata kidogo.
Muone! Unacheka kama mazuri![emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah, we acha tu. Tunaishia kujutia tu. Mara mia angekuwa binti ambaye hana ukaribu na familia. Ningesema potelea pote. Hata kyupi ningeichanilia mbaliUle Uzi umeharibu wengi
Ndo hivyo mkuu, so sadBinti akaropoka na kusema, "Mimi sio msichana wa hivyo, leo ndio tunafahamiana, hata mahusiano bado, na leo ndo unataka tufanye mapenzi!? Hatujuani kaka yangu, hujui mimi natokea familia gani, yaani unafikia hatua ya kutaka kufanya uchafu ndani ya nyumba ya ndugu yako?".
Aisee
[emoji17][emoji17][emoji17]
Ntampata vipi wakati anafikia kwa Ma Mkubwa. Na wiki hii sidhani kama wataenda mahali. Na kama wakiniona ninazubaa zubaa sana pale, watahisi kituMwambie kaka ...Yan hapo unaenda kama Simba akiwinda af unampigia ambush ya kustukiza na pumbu juu
muombe muda wake mkutane, sio kwa mamkubwa lakiniNipe mbinu mkuu. Jumamosi hii atakuwepo kwa Ma Mkubwa
Sidhani kama atakubali kwa kumuomba. Kashanitamkia mpaka na laana zisizofaa. Hata kama atakubali, itakuwa ni issue ya miezi au mwakaKwa Sasa endelea kuwasiliana nae muombe msamaha pia taka ridhaa yake umnyandue
Mbinu mkuuBig Stan
Kaza
HahahSoon utakuwa afisa mwandamizi kwenye kitengo.
Sidhani kama atakubali. Kwa sasa ananichukulia kama Jeroo. Nitamvuta vipi kumtoa hapo. Issue ya kusema nimpigie simu nimpe maelekezo haitokuwa kazi rahisimuombe muda wake mkutane, sio kwa mamkubwa lakini
Akijikumbushia filamu ya mateso ya Yesu si unajua hii ni kwaresmaBut machozi ya kulia unapata wapi
Duh![emoji16]Tena vidadaa vya hivyo ni vile vyembamba vinakuwaga na misimamo flani kiasi kwamba kama hakajakuelewa unaweza kukata tamaa kabisa ila nenda naye taratibu maana hata umri wake anaonekana bado mdogo sana huwa wanakuwa hivyo unaweza kufanikiwa kumvusha gheto mkalala ukachezea kila sehemu lakini mwisho wa siku kanabadirika na kukataa kuliwa ukiendelea kuforce kanapiga kelele au kanatishia kuondoka[emoji38][emoji38][emoji38]
Ukiwa mjanja utakuja kukatafuna tu cha msingi nenda nako taratibu
Tumia vilainishi mkuu(pesa na zawadi) atakubali ni swala la muda.Sidhani kama atakubali. Kwa sasa ananichukulia kama Jeroo. Nitamvuta vipi kumtoa hapo. Issue ya kusema nimpigie simu nimpe maelekezo haitokuwa kazi rahisi
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee! Mimi huwa nina machozi ya karibu pale tu ninapokosa kitu ambacho ninkihitaji kwa muda huo. Hasa mbususu. Kuna jirani niliwahi kumlilia hadi akasema, "Basi acha nikaoge kwanza", akaahirisha kwenda KariakooAkijikumbushia filamu ya mateso ya Yesu si unajua hii ni kwaresma
Hata mimi nimepigwa kitu cha kwaresma eti mpaka pasaka ipite. Nakuelewa mkuuKwaresma