Kimasihara imeniponza. Members wa kimasihara naombeni mnifariji

USIMTAFUTE tena....!! muache ipo siku atakutafuta tena na akikutafuta kamwe usimuombe msamaha wala kuongelea ya nyuma yaliyotokea hata kidogo.
Ukiwa na maana kuwa, baada ya yeye kunitafuta, itabidi nianze kufuata hatua za mahusiano ya kimapenzi. Niachane na suala la kimasihara? Au? Nina muda mchache wa kama siku 10 hivi, nataka kurudi mkoani
 
Ndo hivyo mkuu, so sad
 
Mwambie kaka ...Yan hapo unaenda kama Simba akiwinda af unampigia ambush ya kustukiza na pumbu juu
Ntampata vipi wakati anafikia kwa Ma Mkubwa. Na wiki hii sidhani kama wataenda mahali. Na kama wakiniona ninazubaa zubaa sana pale, watahisi kitu
 
Tena vidadaa vya hivyo ni vile vyembamba vinakuwaga na misimamo flani kiasi kwamba kama hakajakuelewa unaweza kukata tamaa kabisa ila nenda naye taratibu maana hata umri wake anaonekana bado mdogo sana huwa wanakuwa hivyo unaweza kufanikiwa kumvusha gheto mkalala ukachezea kila sehemu lakini mwisho wa siku kanabadirika na kukataa kuliwa ukiendelea kuforce kanapiga kelele au kanatishia kuondoka[emoji38][emoji38][emoji38]
Ukiwa mjanja utakuja kukatafuna tu cha msingi nenda nako taratibu
 
Kwa Sasa endelea kuwasiliana nae muombe msamaha pia taka ridhaa yake umnyandue
Sidhani kama atakubali kwa kumuomba. Kashanitamkia mpaka na laana zisizofaa. Hata kama atakubali, itakuwa ni issue ya miezi au mwaka
 
Duh![emoji16]
 
Akijikumbushia filamu ya mateso ya Yesu si unajua hii ni kwaresma
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee! Mimi huwa nina machozi ya karibu pale tu ninapokosa kitu ambacho ninkihitaji kwa muda huo. Hasa mbususu. Kuna jirani niliwahi kumlilia hadi akasema, "Basi acha nikaoge kwanza", akaahirisha kwenda Kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…