Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Yaani kati ya waliobugi big time ni huyu mla ugali sukari. Hata waliomshauri wanajionea aibu.Wachezaji wengi wa kibongo hawajitambui. Na mifano iko mingi kweli kweli. Wachache wanaojitambua, ndiyo hao akina Simon Msuva, Mbwana Samatta, na wengineo wanaochezea timu za nje.
Mchezaji kama Fei Toto, unaweza hata kumcharaza viboko kwa namna akili yake nje ya uwanja ilivyo dumaa.
Tujitafakari kama taifa tukiwa na wachezaji wa caliber na attitude ya Fei mla ugali sukari.Simba 7:0 horoya
Chama, baleke, kanute
Yanga 2: 0 monastir
Mayele, musonda.
Halafu anakuja mjinga mmoja anasema anataka alipwe kama wageni wakati hajui hata faulo inapigwaje.
Wachezaji wa kibongo inapaswa wajitambue.
Simba 7:0 horoya
Chama, baleke, kanute
Yanga 2: 0 monastir
Mayele, musonda.
Halafu anakuja mjinga mmoja anasema anataka alipwe kama wageni wakati hajui hata faulo inapigwaje.
Wachezaji wa kibongo inapaswa wajitambue.
Inasikitisha, ndio vipaji kama vipo vinapotea, Yanga kila match 7\8 ya first 11 ni wageni.Tujitafakari kama taifa tukiwa na wachezaji wa caliber na attitude ya Fei mla ugali sukari.
Yanga na Bacca.Kilosi Cha Yanga kilichoanza,Mwamnyeto na Sureboy ndio walikuwa wabongo!
Kikosi Cha Simba kilichoanza,Kibu,Manula,Mzamiru,Kapombe na Zimbwe ndio watanzania!
Naona hujui maana ya team..wangekuwa wanacheza tennis sawa.Simba 7:0 Horoya
Chama, Baleke, Kanute
Yanga 2: 0 Monastir
Mayele, Musonda.
Halafu anakuja mjinga mmoja anasema anataka alipwe kama wageni wakati hajui hata faulo inapigwaje.
Wachezaji wa kibongo inapaswa wajitambue.
Wabongo wengi hawajitumi kwenye hii michuano. ngumu sana kusajiliwa kimataifaNaona hujui maana ya team..wangekuwa wanacheza tennis sawa.
Maana ya timu kwa faida yako ni kwamba mchango wa watu zaidi ya mmoja ndio unapelekea kupata hitajio.
Hivyo,hilo au hayo magoli wasingefunga kama wasingepata usaidizi wa wachezaji wengine..
Yani feisal sjui hata hzo sifa anazopewa anazitoa wapi , au jwa sabababu ni mswahili mana sisi waswahili kwenye media (stream au social tupo vizur sana kujazana ujinga )Wachezaji wengi wa kibongo hawajitambui. Na mifano iko mingi kweli kweli. Wachache wanaojitambua, ndiyo hao akina Simon Msuva, Mbwana Samatta, na wengineo wanaochezea timu za nje.
Mchezaji kama Fei Toto, unaweza hata kumcharaza viboko kwa namna akili yake nje ya uwanja ilivyo dumaa.
Taifa stari ina mabeki na kipa tu huko kwengine ushudu mtupu.Wazawa wako wapi!Kwa namna hiyo Taifa stars itavuka kweli?
Usihame hoja..hoja yako ilikuwa hawafungi magoliWabongo wengi hawajitumi kwenye hii michuano. ngumu sana kusajiliwa kimataifa
Hata hivyo wachezaji wa bongo wengi uwezo wao wakufunga ni wa kubahatisha..hata wakipewa nafasi wanarukaruka..Usihame hoja..hoja yako ilikuwa hawafungi magoli
Wabongo wengi ustar mwingi.Hawa wazawa tunaowapambania hata Ligi ya Burundi tu wakienda hawapati namba. Kama na wao wanaume waende wakacheze nchi za wengine huko ili walipwe mishahara mikubwa. Ambia akina Majogoro , Waziri Salumu, Awesu Awesu , Feisal wakacheze Congo huko