BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Ni kweliHata hivyo wachezaji wa bongo wengi uwezo wao wakufunga ni wa kubahatisha..hata wakipewa nafasi wanarukaruka..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweliHata hivyo wachezaji wa bongo wengi uwezo wao wakufunga ni wa kubahatisha..hata wakipewa nafasi wanarukaruka..
Mkuu Bacca anatokea taifa Gani??Kilosi Cha Yanga kilichoanza,Mwamnyeto na Sureboy ndio walikuwa wabongo!
Kikosi Cha Simba kilichoanza,Kibu,Manula,Mzamiru,Kapombe na Zimbwe ndio watanzania!
Ukweli usemweee, Fei toto aliibebaa Yanga, acheni chuki, sio kisa kakosea ndo msione umuhimu wakee, acheni husda jinsi alivyokua anajitoaa kuipambania team.Yani feisal sjui hata hzo sifa anazopewa anazitoa wapi , au jwa sabababu ni mswahili mana sisi waswahili kwenye media (stream au social tupo vizur sana kujazana ujinga )
Mipango ya kuendeleza timu ya taifa haipo program za michezo mashuleni zimekufa hazifanyi kitu watoto wakicheza wanazuiwa na kuambiwa watafeli so kwa timu ya taifa labda tuchukue wachezaji kutoka nje tuwape utaifa kama walivyo fanya QatarKwa Tanzania ukweli ni kwamba ujio wa hawa wachezaji wa kigeni utazisaidia kwa kiasi fulani timu hizi kubwa za Yanga, Simba na labda Azam lkn kwa taifa hamna lolote na tutaendelea kuwa wasindikizaji tu.