Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana thiiiiiiimbaaaaIf you're target is to win,why mpo federation....means mlifeli kule si ndio maana yake!!??
Kuandika hapa jukwaani ambapo kuna members zaidi ya laki moja ni sawa na kufanya hicho ulichoandika.Umekurukia mdomoni huo uharoo au kakulambisha kama sio wewe kushobokea uharo wa mwenzio
Hilo swali hata Mimi nmeuliza...
Wameanza lini??
Ujinga huu nan kauleta kama sio wewe chief..nikakuuliza umewashwa washwa wapi ukajib habar za uharo..sasa mi naendelea ulipoishia wewe maana ndio mambo yako haya it cmsKuandika hapa jukwaani ambapo kuna members zaidi ya laki moja ni sawa na kufanya hicho ulichoandika.
Ujinga kama huu msiulete kwenye public views...tumianeni huko DM
Haijalishi,kwani wewe unafikiri kwa uzoefu wako process inatakiwa ichukue muda gani labda!!?Mkuu hatukatai .....lkn hizo process mmeanza lini????
Uzembe wa kutumia vzr home advantage + uoga kushindwa kujiamini ugeniniUna uhakika!!???
Nyie wenyewe mmeshawahi kufikia hiyo stage ya Simba!!....ila kwa kuwa mafanikio ni process ipo siku mtafika regardless itachukua muda gani.
Hongera Simba kwa hichi mlichokifannya,kwa mtu mwenye jicho la tatu bila shaka kuna kitu positive atakuwa amekiona kwa Simba
AnywayUjinga huu nan kauleta kama sio wewe chief..nikakuuliza umewashwa washwa wapi ukajib habar za uharo..sasa mi naendelea ulipoishia wewe maana ndio mambo yako haya it cms
Hii game inatofauti gani na ile game yenu dhidi ya Al hilal!Uzembe wa kutumia vzr home advantage + uoga kushindwa kujiamini ugenini
Mechi ya Jana Simba hawajapiga shuti hata Moja lililo lenga lango
On target 0
Off target 7
Mtawezaje kufika nusu fainali Kwa hiviView attachment 2603359
Au siyo 😁Hakuna jicho la 3 , 4 wala la 5, mmeshindwa kufuzu mmetoka. Ndio uwezo wenu ulipoishia
AahaaaaaaIf you're target is to win,why mpo federation....means mlifeli kule si ndio maana yake!!??
Tuwape kombe laoAfu eti wamekufa kiume .....[emoji23][emoji23] Kiume which
Ndio ni kweli tumekufa kiume hasa 💪Afu eti wamekufa kiume .....[emoji23][emoji23] Kiume which
Kwahiyo hata FA hawapati!?Kabisa Mkuu...Simba wajiandae na mapinduzi cup
Mkuu wape na la Robo FainaliTuwape kombe laoView attachment 2603361
Aahaaaaaa
Vichaka vyote tunafya
Ila mbona kichaka cha champion kimeota nyasi 😁😬Aahaaaaaa
Vichaka vyote tunafyeka