900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
kwasababu ndio wanaandaliwa simba ni karakana ya kufyatua wachezaji wa kimataifaKwnn wakiwa Simba hawakuitwa national team [emoji32]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwasababu ndio wanaandaliwa simba ni karakana ya kufyatua wachezaji wa kimataifaKwnn wakiwa Simba hawakuitwa national team [emoji32]
Umenena shangazi...Simba inakuza vipaji, yanga inamalizia vipaji.
[emoji24][emoji24]Ukiona unapambama sana kujilinganisha na Simba basi jua timu yako ina mengi ya kujifunza Simba..
Nyuzi zako nyingi ni kukompare tuu..
Nilishakupuuza siku hizi maana huna content
Nimekuja tuu kukupa taarifa kuwa unaandikaga pumba...
Wameshagundua ndo pakuwapigia msasa watu waoJe ni kama mataifa ya Africa....yamegundua kuwa YANGA ndiyo football workshop ya kung'arisha wachezaji????
Kabisa mkuu.... haiwezekani Kila wakifika Yanga wanaitwa national team
📌Simba inakuza vipaji, yanga inamalizia vipaji.