Kimataifa: Yanga wachezaji 12 waitwa Afcon, Simba 6 tu

Ukiona unapambama sana kujilinganisha na Simba basi jua timu yako ina mengi ya kujifunza Simba..
Nyuzi zako nyingi ni kukompare tuu..
Nilishakupuuza siku hizi maana huna content
Nimekuja tuu kukupa taarifa kuwa unaandikaga pumba...
 
[emoji24][emoji24]
 
Wameshagundua ndo pakuwapigia msasa watu wao
Mtu akitaka kwenda timu ya taifa au clubs kubwa anakuja kujipiga msasa
Kabisa mkuu.... haiwezekani Kila wakifika Yanga wanaitwa national team
 
Yanga ni timu inayofanya vizuri Africa kwa sasa...
Africa magharibi wao wameona bandari ndogo ni kwenda Asec Mimosa
Wakitoka hapo Yanga Sc πŸ˜…πŸ˜…
Kabisa mkuu.... haiwezekani Kila wakifika Yanga wanaitwa national team
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…