Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba itungwe na nani sasa?Who's prepare constitutional?
Navyojua katiba mbofu unaayona inaaababishwa na uwepo wa ukinzani wa matabaka.
Viongozi na wafanyakazi
Viongozi hujipendelea hivyo wanakuwa wanawabana watengeneza SHERIA kufavour upande wao.
Wanasheria wa Kenya wanajitambua sio hawa vibaraka wa ccm!
Sikubaliani na wewe unaponipa mfano wa Kenya; Kenya ni mfano wa hovyo sana inapokuja kwenye suala la sheria. Wanasheria wao wametunga sheria matokeo ya uchaguzi yapelekwe mahakamani; wamefanya uchaguzi, wameenda mahakama; mahakama imetoa hukumu miezi sita baadaye wako barabarani wantaka saver ifunguliwe, wnasema wamepata ushahidi mpya- hao ndio wawe mfano- naomba uniruhusu tutofautianeWanasheria wa Kenya wanajitambua sio hawa vibaraka wa ccm!