Sikubaliani na wewe unaponipa mfano wa Kenya; Kenya ni mfano wa hovyo sana inapokuja kwenye suala la sheria. Wanasheria wao wametunga sheria matokeo ya uchaguzi yapelekwe mahakamani; wamefanya uchaguzi, wameenda mahakama; mahakama imetoa hukumu miezi sita baadaye wako barabarani wantaka saver ifunguliwe, wnasema wamepata ushahidi mpya- hao ndio wawe mfano- naomba uniruhusu tutofautiane