Rev.Kishoka,
..dawa ni kuanzisha redio inayopigia kelele uongozi mbovu wa CCM mpaka wananchi waelewe somo.
..vilevile watafutwe wajanja wa kutengeneza political ads. nadhani kuna statements nyingi sana wanazotoa unaweza kuzitumia against them.
Huku Rwanda, Kagame usiku anawasha vogue lake(tena anaendesha mwenyewe) anazunguka mitaa ya Kigali.Ole wake meya akute kadhia ka hii ya Dar-es- Salaam,kesho yake mtu hana kazi. Mtamuita dikteta au vyovyote mtakavyo lakini watu wanjua bwana mkubwa hataki upuuzi.
Matatizo hapo matatizo ni matatu:
1)Wanaotakiwa kusimamia kampuni zinazo zoa uchafu ndo hao hao wenye kampuni hizo.
2)Ukikuta ni kampuni ya mtu ambae kapata kazi kwa njia ya halali utakuta bei aliyoweka kufanya hiyo kazi ni 10% less of the budgeted price. Ngoma inakuwa inogile pale budgeted price inapokuwa ndogo ukilinganisha na ukubwa wa kazi.Hapo utakuwa ubabaishaji kwa kwenda mbele na kitu kidogo kitafanya kazi.
3)Mwisho kabisa ni tabia za wana bandari salama.
Kigali ukifika siku ya kwanza kwa jinsi mji unavyongaa utadhani huko Europe,ukweli ni mzuri japokuwa unauma. WANABANDARI SALAMA NI WACHAFU,TUNATEMA MATE HOVYO,TUNATUPA TAKATAKA HOVYO,TUNAJISAIDIA HOVYO KILA KITU ...............HOVYO HOVYO. Baadae tunamlaumu Kimbisa au Lukuvi, Wafanye nini?
KUANZIA LEO UKIONA MTU ANATENGENEZA UCHAFU , kamata peleka polisi na kisha mpigie simu Lukuvi uone ka mji autapendeza. NIWAJIBU WETU KULIPENDA JIJI NA VIONGOZI WETU ITABIDI WATENDE KWA KUONA AIBU.
TUWACHE KULALAMIKA NA KUPENDA KUFANYIWA KILA KITU.
Halafu vijana wanaograduate masomo ya media na arts watakwambia kazi hamna wakati sehemu kibao za kuwa innovative zipo.Kila mtu anataka kuajiriwa.
Rev.Kishoka,
..dawa ni kuanzisha redio inayopigia kelele uongozi mbovu wa CCM mpaka wananchi waelewe somo.
..vilevile watafutwe wajanja wa kutengeneza political ads. nadhani kuna statements nyingi sana wanazotoa unaweza kuzitumia against them.
Julius said:Ahahahahahahaaa...Joka...bongo siyo Marekani..lol. Mambo ya "I voted for it before I voted against it" katika siasa za bongo bado hayajashika nafasi. Unahitaji a 24hr news cycle kwa vitu kama hvyo kuwa effective. Sasa bongo watu wangapi wana access za media outlet kama Nyamwezi?
Julius,
..Iran walikuwa na mahubiri ya Ayatollah aliyekuwa exiled in France kwenye audio tapes.
..Sumaye naye alikuwa blitz kwenye magazeti kwa kila upuuzi aliousema. effect yake ni kwamba leo hii anaonekana ni fisadi kuliko Mkapa.
..Tanzania kila weekend wananchi wanaangali English premium league, why not run a political ad now and then. walioko vijijini kule kusikukuwa na access ya hivi vitu watasimuliwa.
Mhe. Jaji Warioba wakati akiwa Mhe. Waziri wa Serikali za Mitaa, aliwahi kutamka kwamba "HIVI KILA KITU MNASUBILI MFANYIWE NA SERIKALI ZA MITAA? HATA UCHAFU ULI MBELE YA NYUMBA YAKO HATA MAJANI YALIYOOTA MBELE YA NYUMBA YAKO UNATAKA KIMBISA AU LUKUVI WAJE KUZOA AU KUPALIA AU KUFYEKA?"
Walitakiwa wakatupe wapi?..ndio swali nalotaka kujua mimi..Jamani wa TZ tutakuwa tumerogwa,Hivi wewe umemenya viazi vyako vya chipsi,unavizia usiku unaenda kutupa takataka Barabarani,Halafu unasubiri Rais/serikali ije ikuzolee taka au uhimizwe uzoe kwa viboko!?? Hizi ni akili au matope?
Mungu wangu tutabaki kulalamika kila siku hata kwa mambo yasiyostahili.
Mimi ninapokaa tuna mifuko maalumu tunakusanya Taka mara nyingi kwa wiki.Then wanakuja wale wenye ajira zao na mikokoteni na kuzichukua na tunalipia huduma hiyo,na wao wanazipeleka kwenye dampo.Sehemu nyingine nimeona magari huwa yanapita kukusanya.Wale wanatupa barabarani wanakwepa kulipia hiyo 500/= je unadhani hii ni sawa?Walitakiwa wakatupe wapi?..ndio swali nalotaka kujua mimi..
Hivi ktk fikra zako uchafu huo unaouona hapo ktk picha umefanywa na watu binafsi wenye nyumba zao jirani?.. Hao unaowapa uchafu wenye mikokoteni ndio hao wanaotupa taka hizo barabarani kwa sababu hizo unaziita ajira hazilipi..Hakuna utaratibu maalumwa kutpa taka na wala huyo mwenye mkokoteni hafuatwi.Mimi ninapokaa tuna mifuko maalumu tunakusanya Taka mara nyingi kwa wiki.Then wanakuja wale wenye ajira zao na mikokoteni na kuzichukua na tunalipia huduma hiyo,na wao wanazipeleka kwenye dampo.Sehemu nyingine nimeona magari huwa yanapita kukusanya.Wale wanatupa barabarani wanakwepa kulipia hiyo 500/= je unadhani hii ni sawa?
Hawa si ndio wale wale waliokaidi hata maagizo ya Mkulu ya kutaka watu wawe na access na public places kama beaches na gardens..likiwemo la usafi? mbona hatujaona mabadiliko...au ndo yale ya kusema mkuu wa mkoa ndo bosi wa Rais?
On the other hand kama tunataka mabadiliko kwa njia ya boksi la kura, je tuna watu mbadala ambao walau wanaonyesha matumaini? Au ndo tutaishia kuweka wapya ambao watatafuta mbinu mpya za 'kula'?
yani ni presha tupu. by the way hivi barabara ya madela imeisha kujengwa wakulu au ndo bado longolongo? unajua kwa siye wa mikoani tufikirie pa kwenda kukwepa foleni