Kimbunga cha Ukata: Wachezaji Yanga wagomea mazoezi kwa kutolipwa mishahara

Kimbunga cha Ukata: Wachezaji Yanga wagomea mazoezi kwa kutolipwa mishahara

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_2019-04-25-15-27-04~2.png

Ndugu mwanaJF hiki sio kimbunga cha Kenneth bali ni kimbunga cha ukata. Serikali iingilie kati kutafuta mdhamini hii ni club kubwa ni alama ya nchi

Updates
Zahera ametoa tamko. Mchezaji atakayesusia kesho hatampanga tena
 
Hivi yale mabakuli ya michango huwa yanafika kwa walengwa. ? .

Gongo wazi hapa juzi kati walitamba kua ile michango Imefikia bilioni moja
 
Vyuraa fc wamefikia mahali wanalalamikia hata goli alilofunga niyonzima ati haiwezekani mabeki wotee wa kagera wamsindikize niyonzima kufunga goli.

Kwamba eti kwanini hata wasimpige kwanja niyonzima ? . tehetehee
 
Lazima wagome.. Msimu ujao wachezaji zaidi ya 15 Zahera hawataki
 
Vyuraa fc wamefikia mahali wanalalamikia hata goli alilofunga niyonzima ati haiwezekani mabeki wotee wa kagera wamsindikize niyonzima kufunga goli.

Kwamba eti kwanini hata wasimpige kwanja niyonzima ? . tehetehee
Mkuu Kagera ndo alikukula hebu muheshimu kidogo, mikia mlicheza na Alliance
 
Mkuu. vyuraa mlinitoa kwenye mstari .vipi game ya leo unasemaje kuhusu mbeleko mnayoo Lilia. ?
Mna mbeleko ngumu mno, alafu kuna watu walikuwa wanajiuliza kwanini huwa hatupeleki waamuzi kwenye mashindano makubwa..
 
Back
Top Bottom