OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwa kwa kwa kwaaaaa!!! Nacheka kigongowazi!!!!View attachment 1080918
Ndugu mwanaJF hiki sio kimbunga cha Kenneth bali ni kimbunga cha ukata. Serikali iingilie kati kutafuta mdhamini hii ni club kubwa ni alama ya nchi
Mkuu ungetoa hata location na maji hapa nimekunywa nusu niwaachie wapunguze kiu
Mkuu Kagera ndo alikukula hebu muheshimu kidogo, mikia mlicheza na AllianceVyuraa fc wamefikia mahali wanalalamikia hata goli alilofunga niyonzima ati haiwezekani mabeki wotee wa kagera wamsindikize niyonzima kufunga goli.
Kwamba eti kwanini hata wasimpige kwanja niyonzima ? . tehetehee
Mkuu Kagera ndo alikukula hebu muheshimu kidogo, mikia mlicheza na Alliance
Mna mbeleko ngumu mno, alafu kuna watu walikuwa wanajiuliza kwanini huwa hatupeleki waamuzi kwenye mashindano makubwa..Mkuu. vyuraa mlinitoa kwenye mstari .vipi game ya leo unasemaje kuhusu mbeleko mnayoo Lilia. ?
Mna mbeleko ngumu mno, alafu kuna watu walikuwa wanajiuliza kwanini huwa hatupeleki waamuzi kwenye mashindano makubwa..
Yanga wanacheza wazalendo tu... kweli timu ya wananchi.beno aligoma mkamuona msaliti.