Kimbunga cha Ukata: Wachezaji Yanga wagomea mazoezi kwa kutolipwa mishahara

wao wanatembeza bakuli ili wasajili wachezaji wapya wakati wachezaji wa zamani wanawadai akili za vyura wanazijua wenyewe hivi mchezaji gani wa maana aje kwenye timu ambayo wachezaji wake wanagoma kwa kutolipwa mishahara
 
Yanga wanacheza wazalendo tu... kweli timu ya wananchi.
Mtu yupo kazini anapiga kazi halafu mshahara hapati... Ukihoji eti hufai
Yaani hapo tu ndo utazijua akili zetu watanzania, ukihoji haki yako eti siyo mzalendo, sio mwananchi sasa huyo mchezaji ataendesha vipi familia yake, dependants nk. Hakika tuwaombee yanga wanajipitia ni magumu kwao
 
sasa umuhimu wa meneja unaonekana meneja katimuliwa wachezaji wanagoma halafu unawatishia nyau
 
Yanga wanacheza wazalendo tu... kweli timu ya wananchi.
Mtu yupo kazini anapiga kazi halafu mshahara hapati... Ukihoji eti hufai
Teh teh ukipita karibu na Jengo la Msimbazi Zahera anakufukuza kazi.
 
Usifurahi juu yangu eeh adui yangu.
Niangukapo mimi nitasimama tena.
Si vyema kunisema vibaya nipatapo tstizoo baba.
Shetani wampa nafasi, ndani ya moyo wako.... *2

Ukiona nipo kwenye shida niombee,
.......

Cc:Upendo Nkone
 
Kwan pesa inayotolewa Na main sponsor
Sport pesa hua inaenda wapi

Viongoz wa Tz wote n matumbo
Yao tu wanakumbuka

Na huyo zahera nae anawapga
Mkwara kwakua yy yake ashakula

Wachezaj wagome tu tena wote
Wapge nyutro kabsa
Maana n haki yao kulipwa
Jasho lao
 
Kwani michango bado haijatosha Kabisa?
Tatizo mnachanga Jero Jero halafu mnaenda bar kunywa bia nyigi za buku mbili.
Mnapenda Bia kuliko timu yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…