Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu kwa kimbunga...! Kwa hali hiyo ubingwa kwako wa kazi gani? Waachie Simba SC[emoji23][emoji23][emoji23]Watumishi wa umma hao, timu ya wananchi
Timu ya wananchi ikishinda Ghazwat ameshinda.Pole mkuu kwa kimbunga...! Kwa hali hiyo ubingwa kwako wa kazi gani? Waachie Simba SC[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hapo tu ndo utazijua akili zetu watanzania, ukihoji haki yako eti siyo mzalendo, sio mwananchi sasa huyo mchezaji ataendesha vipi familia yake, dependants nk. Hakika tuwaombee yanga wanajipitia ni magumu kwaoYanga wanacheza wazalendo tu... kweli timu ya wananchi.
Mtu yupo kazini anapiga kazi halafu mshahara hapati... Ukihoji eti hufai
Teh teh ukipita karibu na Jengo la Msimbazi Zahera anakufukuza kazi.Yanga wanacheza wazalendo tu... kweli timu ya wananchi.
Mtu yupo kazini anapiga kazi halafu mshahara hapati... Ukihoji eti hufai
Wachezaji wa African Lyon wanaishi vizuri kuliko vyura fc